Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 554
- 944
Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu.
Uzinzi au ngono inakufanya kuwa mbali na Mungu hii inapelekea kukosa ufahamu na hekima kutoka kwa Mungu.
Samson alipoteza uwezo wake na ufahamu kwa kutoa siri za nguvu zake sababu ya uzinzi, Samson alitoa siri za nguvu zake kwa delila na kupelekea wafilisti kumkamata.
Samson alishiriki kufanya uzinzi na mtu ambaye sio chaguo la Mungu
Na kupelekea kupoteza ufahamu na kutoa siri zake kwa maadui zake na mwisho kutolewa macho na kufariki pamoja na wafilisti walio kuwa wakishangilia akiwa kafungwa minyororo.
Katika maisha unapo shiriki tendo la ndoa au ngono na mtu ambaye sio sahihi au chaguo la Mungu inaweza kupelekea kushusha nguvu zako za kiroho kama samson
Ngono au uzinzi pia ni tendo la kiroho, hivyo unaposhiriki na mtu ambaye sio sahihi anaweza shusha nguvu zako(energy) au nyota yako na kupelekea mambo yako kuharibika kama kifedha, biashara n.k
Ngono au uzinzi pia unaweza sababisha kubadilishana trauma, hisia, mambo ya kiroho, hivyo kama mtu anachangamoto ya hisia zake anaweza kukupa na wewe na kupelekea kukosa utulivu wa akili na amani ya moyo wako.
Ngono au uzinzi pia unaweza kusababisha magonjwa, watoto usio tarajia kwenye maisha yako hivyo ni muhimu kuepuka na ngono au uzinzi ili kuendelea kuwa karibu na Mungu, hii itakusaidia kufanikiwa katika maisha yako.
Unapoona umekosea na kuingia kwenye ngono na mtu ambaye sio sahihi omba kwa Mungu akusamehe na Mungu ni wa rehema atakusamehe,
Samson alifanya makosa haya lakini Mungu pia alimsamehe na kumurejeshea nguvu zake,
Pia mfalme daudi baada ya kufanya makosa ya uzinzi na mke wa jirani yake Mungu pia alimsamehe na kuendeleza ufalme ndani ya nyumba yake.