zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Waloliondo kufurushwa wenye ardhi ya mababu zao ni kielelezo cha ubovu wa katiba yetu

    Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani. Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
  2. JamiiForums Tanzania Mlikuwa mnawindwa, hamkujua na mkajisahau hatimaye mmeingia wenyewe katika 18 zao hawawaachi

    TAARIFA KWA UMMA Tumepokea barua kutoka TCRA ikitutaka tujieleze kuhusiana na Habari tuliyoiandika ikihusisha Maandamano ya Wamaasai kuelekea Ubalozi wa Kenya wiki iliyopita,DARMPYA TV ONLINE inashtakiwa na TCRA kupotosha maandamano yale kwenye ukurasa wa Twitter wa Darmpy Blog. Chanzo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

    Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake. Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM. -Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c -CUF, NCCR, Chadema, Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna anaewafahamu hawa watu anipe ABC zao?

    Kwema wakuu Niliona hizi kazi mtandaoni, na kwa vile nilikua na sifa nikaomba.so wamenialika kwenye usaili,ila sijawajua vizuri wanadeal na kitu gan exactly. So naomba mwenye kujua abc zao afunguke hapa. Shukran
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kazi zao aisee,wewe huipendi kazi yako

  6. JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  7. JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  9. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo hawazipendi wanaume toka Kwa wake zao

    Habar Wana Jf. Dada zangu wanaume hatupendi mtufanye kama mama zetu, hatupendi kuongozwa/ kusimamiwa, haya ndio makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya katika ndoa zao. Mwanamke ukiwa na Tabia ya kutaka kumkontroo mume wako basi ujue unakaribisha sinto fahamu katika ndoa yako,labda niwasaidie...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  12. JamiiForums Tanzania Hai / Kilimanjaro: Wenyeviti wa vjiji 62 vitongoji 260 hajawahi kulipia posho zao tangu Saashisha Mafue awe Mbunge

    Kwa Hali ya kushangaza na kusikitisha, wenyeviti wa vijiji na vitongoti Jimbo la Hai , Mkoa wa Kilimanjaro, wamesusia uchaguzi wa ndani wa CCM kwa Kile wanachokisema kuwa hawajawahi kulipwa posho zao kwa miaka mitatu sasa tangu wamchahue mbunge wao Saashisha Mafue. Hali imechafuka zaidi baada...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Mkonge

    HISTORIA YA ZAO LA MKONGE Zao la mkonge liliingizwa nchini Tanganyika mwaka 1892 na mtaalamu wa kijerumani Dr. Richard Hindorff ambaye alikuwa ni mtafiti wa mimea na udongo. Mtaalamu huyo alichukua miche 1000 kutoka Pwani ya Mexico kwenye jimbo la Yuctan na kuisafirisha kupitia Frolida...
  14. JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  15. JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania 15% Majeruhi wa ajali wanaotibiwa Muhimbili hawana bima, huuza mali zao ili kujitibia

    Asilimia 15 majeruhi ajali wanaopata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanauza vitu vyao vya ndani ili kupata fedha kwa ajili ya matibabu. Aidha, asilimia 20 ya majeruhi hao wanaazima fedha kwa ndugu najamaa kwa ajili ya kugharamia matibabu yao. Hayo yamesemwa Juni 6, 2022...
  17. JamiiForums Tanzania Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

    Canola ni zao la aina ya mmea jamii ya kunde; liligunduliwa uko Canada, na hili zao la canola limekuwa likilimwa zaidi ya miaka mingi sana uko Canada kabla ya kusambaa ktk bara zima la American. Hili zao limekuja kwetu Afrika mashariki zaidi limekuwa likilimwa Kenya hasa maeneo ya rift valley...
  18. JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

    Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
  20. JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao. Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira. Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…