GUINNESS WORLD RECORD: Je, washindi wanaovunja rekodi duniani hufaidika vipi na rekodi zao?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,734
10,041
images (1).jpeg


Kuwa mshindi wa Guinness World Record hakuna faida zozote za kifedha kama zawadi pale unapofikia record fulani katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo unapatiwa hati maalumu ya utambuzi ambayo inakubalika na kutambulika kimataifa; hivyo mshindi kwa kupitia hati hiyo anakuwa amefanikiwa kujulikana duniani na inawezekana ukaweza kupata ufadhili kama itatokea.

images.jpeg
 
Back
Top Bottom