zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Tapeli wa Mawakala akamatwa afichua siri zao

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kucheleweshewa Mishahara kwa Maafisa Kilimo wa BBT

    Sisi vijana tulioajiriwa kuwa Maafisa Kilimo wa zao la pamba kupitia programu ya BBT, tunakabiliwa na changamoto ya kucheleweshewa mishahara na stahiki nyingine zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yetu. Baada ya kuajiriwa na Bodi ya Pamba na kupangiwa kufanya kazi katika kampuni...
  4. min -me

    JamiiForums Tanzania Totozi zinazoposti picha zao selfika

    Achana na ujinga wa kuamini picha za wadada wa hili jukwaa na kuweka hitimisho kuwa ni wazuri . Sio kwamba kila mdada akiposti picha yake ni m baya . Kuna pisi kali mno JF ila selfika mmezidi kutoa sifa za uwongo kwa pisi mbovu
  5. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Wengi Amboa Pesa Zao Hazirudi baada ya "Kuisha" chanzo kikubwa huwa ni hiki.

    Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani, Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama, Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela nyingine 😁" Lakini mpaka leo sijawahi bahatika kuokota hela kama hiyo, Sidhan kwa sababu sina bahati...
  6. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania HERVÉ FALCIANI: MTU ALIYEVUNJA UKIMYA NA KUVUJISHA KWA DUNIA MAJINA YA MAFISADI WANAOFICHA PESA ZAO BENKI YA USWISI

    Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi. Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

    Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality. Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi? Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka...
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  10. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Watakuhukumu Kutokana Na Mitazamo Ya Misingi Ya Imani Zao

    Matendo 28 3 Paulo alipokuwa amekusanya mzigo wa kuni, na kuuweka motoni, nyoka akatoka kwa ajili ya ule moto akamzongazonga mkononi. 4 Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Hapo awali kulikuwepo na dhana potofu na kasumba kwamba Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya,Iringa,Njombe,Songwe,Ruvuma na Rukwa) kwamba ndio wazalishaji wakuu wa mahindi nao wakajisahau wakidhani wanategemewa saaana na Nchi kwamba Mikoa mingine ni walaji tuu. Sasa hivi hii kasumba...
  12. bullbar

    JamiiForums Tanzania Tatizo humu kila mtu tajiri..ila ningewapa conection za wateja na namba zao!

    Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye swala la uzazi wa Mpango Wazungu walijichanganya, Vizazi vyako na familia zao zimeparanganyika. Ingawa.....!!

    Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora. Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
  15. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri. Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marais ambao ndugu zao walishika nyadhifa za juu serikalini wakati wa utawala wao

  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  19. Abdulziad

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha: Watumishi wetu wanaoenda likizo hulipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA UMMA Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
Back
Top Bottom