Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?
Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri...
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna...
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya.
Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
barua
barua ya wazi
dodoma
haraka
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
kulinda
mali
mkuu
ombi
raia
rais
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
usalama
usalama wa raia
wazi
zao
Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni?
Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.
Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.
Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya...
Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.”
Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"...
Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.
Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza
vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho.
Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu.
Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali.
Wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.