Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

Hao watoto wa single maza wana akili sana, wanawadharau dume zima linaoa single maza.
Hasa wakiume wanawachukia sana mliooa hao single maza. Huwa hawaelewi wanawake wote mtaani unaangukia kwa mama yake?
Hili nalo neno. Alafu ujue mpaka mtoto anatambua kuwa huyu mwanaume mjinga ujue wee bwege kweli kweli
 
Back
Top Bottom