Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Bila salama wakuu,
Nimeona hizi post mbili zimeongozana kwenye screen nikashtuka na nikaona isiwe shida hawa ndugu wabadilishane wapenzi.
Na wengine wenye kesi kama hii mnaweza kuexchange tu sio kosa kisheria mkutane hapa kuyajenga
Nusratt holoholo
I – Inshu (Hoja Kuu)
Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
Polisi uitwa Jeshi la kulinda watu na mali zao, lakini jeshi letu hili la polisi limekuwa ni jeshi la kulinda wanasiasa na familia zao. Hakuna watu nchi hii wanaogopa kupoteza kazi kama polisi na walimu, hususani polisi ndio kabisaa na wengi maisha yao ni Duni. Polisi ndio taaluma pekee...
Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
Habarini wana JF.
Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza hivi mtu akiingia shamba akalima kwa wingi vipi soko lake likoje especially kwa Dar? Mimi nipo...
Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani.
Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
Kwa mujibu wa taarifa ya TV ya waislamu MNTV, ni kwamba China ililazimisha watu hilo jamii ndogo la waislamu huko kwamba wasifunge ramadhani na watume video kila siku kuonyesha wanakula, ni nchi ambayo imekataza mavitu ya hiyo dini ya kiislamu ambayo husababisha watu wanaingiwa na mihemko ya...
Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa.
Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao?
Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo;
1. Hisa
Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
Sasa kama hawa alitoka ubavuni mwa adam kama jinsia ya kike je hizi jinsia za kike nyingine pia zilitoka ubavuni mwa jinsia ya kiume ya samaki,kuku,bata,nyoka,nk?
Kwanini wanawake i.e:hawa wasiendelee kutoka kwenye ubavu wa wanaume i.e:adam?
Wafia dini jiongezeni!!
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?
Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la Hezbollah. Ila Tangu Nasrallah afe wamekuwa mdebwedo Hadi kufikia hatua ya kusema wako tayari kusalimu amri...
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna...
Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya.
Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
barua
barua ya wazi
dodoma
haraka
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
kulinda
mali
mkuu
ombi
raia
rais
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
usalama
usalama wa raia
wazi
zao
Ni wazi waAFRIKA wamekuwa WAJINGA kiasi cha kurithi na kukumbatia SHERIA,DINI na KATIBA kutoka kwa wakoloni na wameshindwa kabisaa kujua vyote hivi vilikuwa kwa masilahi ya wakoloni?
Wamekumbatia kesi za wazungu ktk maamuzi,wamekumbatia majina ya wakoloni,wamekumbatia katiba walizoacha...
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.
Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.
Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.