zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Vipo vitu huwa vinashangaza sana

    Qubhir Eraisa Baqoli Hiolia Isliac Raiaca Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka za vyombo vya majini Zanzibar na Bara, msipochukua tahadhari Watanzania watalia hapo mbele

    Leo tarehe 20.12.2020 muda huu naandika nikiwa katika chombo cha Zan Fast Ferry (Zanzibar 2) tulitaraji kuondoka majira ya saa 10.15 jioni kwa mujibu wa ticket zetu ila katika hali isiyotarajiwa tumeondoka saa 10.55 jioni baada ya kupigwa na joto kali hatqri huku watoto wakipiga kelele kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ahukumiwa kwenda kutumikia kwenye Chuo cha Mafunzo (Gerezani) kwa kubaka msichana wa miaka 17

    Hatimae Mahakama ya Mkoa Wete imemuhukumu kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka kumi (10) pamoja na kulipa fidia ya shilingi laki mbili mshitakiwa Khalifa Khalfan Mwaveso mwenye umri wa miaka 25 mkaazi wa Micheweni Pemba, aliepatikana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Meli na Uwakala baada ya kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika hilo

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na Serikali kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif, jembe la Zanzibar

    Mabibi na mabwana si busara sana kuukimbia ukweli. Ukweli ni mchungu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo ndugu zangu? Kumekuwa na mengi kuhusu ACT na Maalim Seif hasa baada ya kujiunga SUK. Ufuatao ndiyo ulio ukweli kuhusiana na jembe hili la Zanzibar. Maalim Seif kaipigania...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Katibu wa Rais, Suleiman Ahmed Saleh siku 37 baada ya kuteuliwa

    Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020. Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua...
  10. JamiiForums Tanzania Falsafa nongwa za Heraclitus: Part Two

    Wanajamii habari gani Baada ya kutoa toleo la kwanza juu ya falsafa za gwiji huyu wa kale, sasa naendeleza maana naona dawa haikuingia ipasavyo, chukulieni hili toleo kama mwendelezo wa dozi. Baada ya kusikiliza yaliyojiri Zanzibari na siasa zake kwa haraka nimeona nitoe dawa, hii dawa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mbadala wa Maalim Seif kwa Siasa za Upinzani upande wa Zanzibar?

    Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi. Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Maalim Seif kuapishwa leo na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Hafla ya kumuapisha Maalim Seif itafanyika Ikulu Zanzibar. Rais Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Mwenyekiti wa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Mazrui na Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

    Hii ni taarifa kutoka Zanzibar iliyotufikia hivi punde, kwamba Dkt. Hussein Mwinyi ameteua Ndugu Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo pamoja na Mwanasheria wa Chama hicho Omary Shaaban kuwa wajumbe wa baraza la Wawakilishi . Huu ni muendelezo wa mambo ya SUK ...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

    Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar. Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar? Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
  18. JamiiForums Tanzania Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

    Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote...
  19. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hata kama inasemwa ameingia kwa kura za wizi, lakini bado ana sifa za kuwa kiongozi bora hapo kisiwani

    Kuingia kwa kura za wizi haina maana kuwa hawezi kuwa kiongozi sahihi. Uharamu wa mchakato hauwezi kubadilisha talanta yake kwa uhakika. Ana hekima, busara, ustaarabu, uvumilivu, anaweza kuchuja kipi aseme na kipi asiseme. Maalim Seif tupo njia panda kwa sababu anamjua huyu bwana uadilifu wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…