zanzibar

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

    Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua. Pia nakumbuka awamu ya 4, Rais akiwa Kikwete kuliibuka wimbi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole nakusubiri uongelee suala la Zanzibar kupata mkopo kupita Serikali ya Muungano

    Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao. Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar. Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%. Mkataba wa Muungano kati ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

    Huo ndio ukweli. Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika. Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana...
  7. JamiiForums Tanzania Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika. “Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa viongozi watano

    Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi katika Wizara za elimu, Uchumi na Uwekezaji na wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu Mkuu Mtendaji, Zena Said leo Februari 3, 2022 imewataja waliotenguliwa ni pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Anderson Ndambo: Zitto ni mamluki wa CCM anaitumia ACT na Zanzibar kwa malengo binafsi

    Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni. 1. Kulipa fadhila kwa Babu. Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
  10. JamiiForums Tanzania Namkumbuka: Juma "Babu" Duni Haji 1995

    MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu ya kawaida. Kuna picha kila nikiiangalia machozi yananilenga. Ismail Jussa yuko kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

    Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar. Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili. Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Daraja la Zanzibar - Bagamoyo muhimu kwa uchumi

    Ni ushauri tu kwa viongozi wa serikali yetu ya Muungano Na Zanzibar kujenga daraja la Magari Na BRT kati ya Tanzania Bara Na Zanzibar. Wachina wanaweza.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kufanya Ziara Zanzibar kuanzia 24-27 Januari 2022

    Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Bara imekuwa maabara ya kufanyia majaribio?, Kwanini Rais kaanza kuthamini machifu bara lakini hataki kujaribu Zanzibar?

    haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu. Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo?? ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna Mall Kubwa itajengwa Darajani Unguja - Zanzibar?

    Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani. Nilinasa picha hizi kwa mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

    Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira. Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Jina la Wimbo wa Taarab Samia Suluhu aliokua akicheza kwa kudemka huko Zanzibar.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…