zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro: Tuliowapa Visit Kilimanjaro na Zanzibar wametuaibisha, ila tuliowapa Visit Tanzania wameiheshimisha nchi

    Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria. Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na...
  2. JamiiForums Tanzania Project Officer - Zanzibar- (LEAP) (NPSA8) at UNDP

    Background UNDP is committed to achieving workforce diversity in terms of gender, nationality and culture. Individuals from minority groups, indigenous groups and persons with disabilities are equally encouraged to apply. All applications will be treated with the strictest confidence. UNDP does...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inahitaji chama kingine kushinda Uchaguzi

    Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT. Zitto Kabwe hivi karibuni alitamka kwenye vyombo vya habari kwamba ACT inahitaji Tume Huru na siyo Katiba mpya. Hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mzee Sadalla Juma aliyembaka msichana wa kazi Zanzibar, itasomwa Jumatatu 21 Machi 2022

    HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA. Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hizi, nalazimika kuamini Zanzibar hawana tatizo la Ajira

    Poleni na majukumu wakuu na hope mko na afya njema, wanaosumbulia na maradhi namuomba mwenyezi MUNGU awaponye na warudi kwenye hali zao za kawaida. Basi bhana! Wazo la kuandika uzi huu limekuja baada ya kuingia huko ajira portal nikiwa ninadhumuni la kuangalia matokeo ya written interview ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

    Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar. Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
  8. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar. Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

    Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao. Hii ni kunyume kabisa na sheria za nchi zinazoruhusu Uhuru wa Kuabudu. Kama jambo halitafanyika basi ni wazi kuna kiongozi mbaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

    Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko! Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri, aingiza wanne wapya

    08 March 2022 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi leo amepangua Baraza la Mawaziri. Ateua mawaziri 4 wapya na wanane wamebadilishwa vituo vya kazi. Pia kwa katika baraza lake, mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi ameteuwa kwa mara ya kwanza...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kumbe anajua kuongea Kiarabu Vizuri. Nimemsikia alipokuwa Ikulu ya Tunguu Zanzibar

    Salaam Wakuu Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili). Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha. Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Akamatwa akiwa na mikoba/pochi 135 aliyokwapua sehemu mbalimbali

    Mnamo tarehe 05/03/2022 kuanzia majira ya saa 12 : 00hrs mpaka saa 12 : 00hrs a/insp Fadhil wa CID Madema akiongozana na makachero wa kituo hicho walifanya msako maalum wa kumtafuta mtuhumiwa anaejihusisha na vitendo vya wizi wa kukwapua vipochi pamoja na mikoba sehemu zenye msongamano wa watu...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi atengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  15. JamiiForums Tanzania Askari waonywa kutotumia lugha za kifedhuli, waambiwa rushwa ni chanzo cha ajali

    Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Awadhi Juma Haji ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufanya oparesheni za kukamata madereva wote ambao wataendesha abiria bila kuvaa kofia ngumu katika pikipiki, kuendesha kwa mwendo kasi, kuendesha gari bila leseni na makosa ya kuegesha magari hovyo...
  16. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Yusuf Juma Mwenda ateuliwa kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Yusuf Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kuanzia leo Machi Mosi, 2022 Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu mkuu kiongozi wa l iliyotolewa kwa vyombo vya...
  17. JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar kushusha mabasi ya umeme, gesi, Rais Mwinyi atoa tamko

    “Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe tunapakiwa kama mizigo, duniani kote mambo yamebadilika hasa katika miji mikubwa, wanaleta mabasi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu aina ya madini yanayopatikana Zanzibar tafadhali

    Mwenye kufahamu madini yanayopatikana zanzibar tafadhali Niko Dubai expo 2022 na tayari nimepata wawekezaji wenye nia ya kuwekeza Zanzibar kwenye sekta ya uchimbaji wa madini . Ninawasilisha
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

    Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu. Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…