zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Bububu Sec. Shule makini Zanzibar

    Wadau wenye kutaka kujifunza maadili na elimu makini karibuni Bububu Secondary School.
  2. JamiiForums Tanzania Viti bandari ya Unguja vibovu, mazingira pia machafu, mamlaka hamuoni hiki kinachoendelea?

    Nimekuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Zanzibar mara kwa mara, kuna hili jambo limekuw alikinikera naona leo nilitolee povu, ni kuhusu baadhi ya viti vinavyotumiwa na abiria kusubiri muda wa kuanza safari. Hali ni mbaya, viti kadhaa vimeharibika na mamlaka zipo kimya tu, sometimes pia maeneo...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio ya Ukatili wa Kijinsia yaripotiwa kuongezeka Visiwani Zanzibar

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi matukio 1,360 mwaka 2022, ongezeko ambalo ni la matukio 138. Takwimu hizi zilitolewa hapo Januari...
  4. JamiiForums Tanzania ILO imeandaa Jukwaa kwa Wadau Kujadili uboreshaji wa Changamoto na Uhamaji wa Kutafuta Fursa katika Nchi za Afrika Mashariki

    Mkutano huu wa siku mbili unafanyika Zanzibar kwa muda wa siku mbili, Januari 24 na 25, 2023 ambapo lengo kuu ni majadiliano ya Wadau mbalimbali kuhusu mazingira ambayo wanakutana nayo wanaotafuta ajira kutoka sehemu moja kwenda kwingine, hasa wakilengwa zaidi vijana. Wanaoratibu mjadala huu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

    Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu. Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea...
  6. JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
  7. JamiiForums Tanzania Kila nikimsikia Rais Dk. Mwinyi wa Zanzibar Redioni na Runingani anafurahia Amani iliyoko huko je, ni kweli kuna Amani sasa Zanzibar?

    Tafadhali Wazanzibari ( hasa kutoka Pemba ) bila Kuwasahau wa Unguja GENTAMYCINE nauliza je, ni kweli kwa sasa mna hii Amani ya Kudumu ambayo Kutwa namsikia Rais wenu Dk. Hussein Ali Mwinyi anaihubiri Redioni na Runingani? Kazi yangu Kubwa ni kuso ma tu Maoni yenu hapa kwani kwa ninavyowajua...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Vipipi" vinavyotumiwa na wanawake kubana uke na kuongeza mvuto

    Serikali ya Zanzibar kupitia Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) imemzuia Mfanyabiashara Maryam Shaaban kutoendelea kuuza bidhaa za Lump Sugar maarufu ‘vipipi’ inayodaiwa kutumiwa na Wanawake kujiweka sehemu za siri ili kupata mvuto na kubana maumbile yao. Pia soma...
  9. JamiiForums Tanzania TAMWA-Zanzibar yataka mabadiliko ya haraka sheria za habari Zanzibar

    ZANZIBAR CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni zafungua kesi kudai haki za kipekee katika uwanja wa ndege wa Zanzibar

    Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki. Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

    Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar. Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini. Hali hii inawaathiri sana Waislamu wa Tanganyika, nitaeleza. a) Kutokana na kwamba kule Zanzibar...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye njozi za usiku wa manane

    Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani. Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM )...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda asema Maboresho ya Mitaala ya Elimu yataigusa na Zanzibar pia

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya mitaala ili kuwawezesha vijana wa pande zote mbili kupata ujuzi na stadi zitakazowasaidia kujiari...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Tujikite katika mapindzi ya Uchumi

    Leo tunaadhimisha miaka 59 mapinduzi ya zanzibar nimekumbuka maneno ya Rais Samia Suluhu aliyosema akiwa anahutubia katika kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar alisema kuwa "Mapinduzi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
  18. JamiiForums Tanzania Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  19. JamiiForums Tanzania Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

    Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…