zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna fisadi anayeweza kukwambia amekuja kukuibia, Mafisadi wa EPA waliwahonga mpaka Maaskofu

    Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe. Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
  4. JamiiForums Tanzania CAG Zanzibar aomba radhi kwa kulidharau Baraza la Wawakilishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar, Dkt. Othman Ali ameliomba radhi Baraza la Wawakilishi Zanzibar na kusamehewa kufuatia kauli yake aliyoitoa ambayo ilionekana kuwabeza wajumbe wa baraza hilo. Hivi karibuni wakati akiwakilisha ripoti ya CAG mwaka 2022/23, Dkt. Othman...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kero Kituko Uwanja wa Ndege Zanzibar

    Naipongeza serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kufanya ukarabati mkubwa wa uwanja wa ndege wa Zanzibar, ambapo ni wazi umebadilisha taswira ya uwanja kuwa bora kuliko ilivyokuwa awali. Cha ajabu ni kwamba pamoja na ukarabati huo kuna kero mpya imejitokeza hasa kwa abiria wanaondoka/wanaotoka...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mahakamani?

    Narudi nyumbani baada ya Hustles za hapa na pale. Naombeni wenye uelewa kuhusu Hili jambo mnifahamishe. Je, Kuna uwezekano wa KUHOJI uhalali wa MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR MAHAKAMANI?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

    Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika. Leo mjadala hafifu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  9. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  10. JamiiForums Tanzania Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

    Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini? Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar

    Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika. Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kazi ipo: CAG awajibu wawakilishi waliomtaka aombe radhi

    Unguja. Sakata la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar la kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Othman Abbas Ali kuwaomba radhi limeibuka kivingine, baada ya Dk Ali kuibuka akisema “hao wanajifurahisha.” Wakati CAG akieleza hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  15. JamiiForums Tanzania CCM huko Zanzibar kimeumana haswa!

    Hali inazidi kuonesha kuwa visiwani kimeumana. Tazameni na sikilizeni kinachozungumzwa na mwana wa mfalme. Nauona mwisho wa CCM baada ya kutawala kwa 60yrs+. Kwa misuguano hii kamwe haijengi bali ni kuongeza nyufa ndani ya nyumba husika. Nafikiri hiki ni kipindi bora kwa wapinzani wazidi...
  16. JamiiForums Tanzania CCM yampinga Balozi Karume/ACT-Wazalendo. Yasema Upinzani haujawahi kushinda Zanzibar

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema madai ya Balozi Ali Karume kuhusu uchaguzi mkuu akisema CCM haikushinda si mageni kwani aliyekuwa Makamo Mwenyekiti CUF Mussa Haji Kombo amewahi kutamka mgombea urais wa CUF hayati Maalim Seif Sharif Hamad hakuwahi kushinda urais . Hadi leo hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  18. JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zanzibar mbioni na mchezo wa formula 1

    Zanzibar imeibuka kuwa mshindani jasiri wa hafla ya Kiafrika kwenye kalenda ya mchezo wa magari ya Formula 1. Kwa kuungwa mkono na serikali, washindani wanaoheshimika, na wasimamizi wa michezo, kuna makubaliano ya pamoja juu ya umuhimu wa kuleta tukio hili la kusisimua katika bara. Dhana hadi...
  20. JamiiForums Tanzania Swala la ardhi ya Bagamoyo ni strategy ya kisiasa tu, lakini kiuhalisia serikali ya Zanzibar haimaanishi kile ilichoongea

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kuna mshituko mkubwa umetukumba watanganyika, hasa kuhusu hili swala la serikali ya Zanzibar kudai kuwa ina eneo lake la ardhi huko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kama ilivyo kawaida ya baadhi yetu, huwa hatukurupuki kulalamika bila kufuatilia kwa makini kina cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…