Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote.
Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti...
Tamko
https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k
Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya Uchaguzi wa 2020.
Wananchi wa Zanzibar na Watanzania wenzangu,
Mimi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya...
Wakuu mambo ni MAZITO sana sana.
Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais.
Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli kugundua kua Walitaka Shamsa Vuai Nahodha awe Rais, na Wajumbe wote kukana kuwa hawana Mgombea.
Jioni...
Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 18,000/=
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 2,000/= tu.
Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
Watalii waliokuwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas visiwani Zanzibar wamepata mshtuko mkubwa baada ya kuporwa vifaa vyao vyote vya kamera na mali nyingine zenye thamani ya zaidi ya dola 12,750 za Kimarekani.
Kwa mujibu wa taarifa walizotoa, vitu vilivyoibwa ni pamoja na:
Kamera Canon R5 Mark...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani.
Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George
J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini
Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho
Hakuna guarantee ya...
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa
Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa Walimu katika masomo hayo.
Hoja hiyo imeulizwa mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao
Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
Vuta nikuvute vilio na simazi vimesikika kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini ikiwemo Jangombe Lofi, Michenzani na Kisonge mara baada ya kuvunjiwa Vibanda na Maduka yao na sehemu za biashara yaliyovunjwa na watendaji wa Baraza la Manispaa la Mjini.
Akitowa ufafanuzi juu ya kadhia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.