Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini?
Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo?
Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu...
🎯 TENDA YA MAWAKALA - HORIZON INSTITUTE 🎯
📍Chuo Kipo Zanzibar 📍
💰 FURSA YA KUPATA MAPATO KILA SIKU! 💰
---
📋 JINSI YA KUFANYA KAZI:
1️⃣ JIUNGA KWENYE MFUMO WA WAKALA:
👉Ingia hapa kujiunga: Horizon Institutes
📝JISAJILI kwenye mfumo wa wakala
🔐PATA NAMBA YAKO YA WAKALA baada ya kujisajili...
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢
Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.
🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:
🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅...
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢
Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.
🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:
🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅...
Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo
Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa asilimia kubwa huwa ni wanafunzi wa Bara.
Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu.
Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s)
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa:
Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari).
Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
Lakini maoni yao tumeyakataa .!!
Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar
Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa endapo akipata nafasi ya kuongoza Tanzania atalipiza kwa wabara kile kiliwatokea ndugu zake Zanzibar...
ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano?
Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika?
mbona mie sielewi?
Mimi sijawahi kufika hembu wenyeji niambieni kuna nini cha maana sana ambacho siku nikija kutembea huko nitatamani nisiondoke.
Maana mimi nishazoea huku bara nikitaka kutembea napanda magari ya mikoa nazunguka mikoa mbali mbali kujionea mema ya nchi.
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)
Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanza tarehe 06 Novemba, 2025.
Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais ataapishwa...
Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio.
Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana kupinga matokea ya uchaguzi wa mwaka 2000, kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mazombi
Kadhalika...
Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE.
Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU.
Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano.
Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
October 30, 2025
Tanzania's Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has won a second term in office, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) announced on Thursday night.
ZEC Chairperson George Joseph Kazi said Mwinyi, the candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party, won 74.8 percent of the...
30 October 2025 | Unguja, Zanzibar
Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025
Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura
139,399
ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani.
Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.