zanzibar

  1. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

    Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Umafia wa Zanzibar una historia!

    hawa watu ni shida, na wala hatukupaswa kuungana nao kabisa, angalia jinsi walivyowaua wapinzani wao huko Zanzibar, damu damu, damu. https://www.youtube.com/watch?v=Ss-lfLLzV-k
  3. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  4. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya yule Sheikh, Zanzibar iliishia wapi?

    Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake. Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa...
  5. unkownguy

    JamiiForums Tanzania Tanganyika wameshindwa kustahimili kile Zanzibar imepitia tokea siku ya kwanza ya muungano

    Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polisi, JWTZ mnakubali tanganyika iuliwe na Zanzibar?

    Jitafakari tena. Yangu ni hayo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  9. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Zanzibar hayupo kwenye list ya ICC?

    Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, rais wa Zanzibar ndiye amir jeshi mkuu wa vyombo vya usalama Zanzibar. Ndiye mwenye mamlaka kwa vyombo hivi. Ndio maana vyombo vinampigia Mwinyi mizinga na siyo Samia. Kwa maana hiyo, rais wa Zanzibar ndiye aliyetoa order ya vyombo vya Zanzibar, KMKM kuja bara...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo: Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar

    Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Video: Mkanganyiko wa katiba Zanzibar kumbe 'Mufti(kiongozi mkuu wa waislamu)' huteuliwa na Rais

    Kila siku tunasema hapa sisi waislamu hatuna chombo cha kutusimamia,inakuwaje Mufti wa Zanzibar ateuliwe na Raisi? Tena serikali inamlipa mshahara na kuihudumia ofisini yake.. Mbona wakatoliki,wasabato, KKKT na Waanglikana viongozi wao hawateuliwi na Raisi?
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

    Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuli Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

    Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  18. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwenye malumbano ya hoja ITV kuna kijana anasema siku ya uchaguzi mkuu wa Bara alikuwa Zanzibar

    Ni nani huyu? Zanzibar alienda kufanya nini? Kwani hakupiga kura? Au ndio resource mobilization? Alisema anaona mitandaoni kuhusu habari ya D09, na kama ikitokea waachiwe wao (kijana) wadili na hao waandamanaji...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula

    Wananchi Zanzibar washukuru punguzo la tozo la 80% bandarini kwa bidhaa za vyakula.
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
Back
Top Bottom