Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa...
Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao
=================
Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Afisi Kuu za CCM, Kisiwandui, Unguja visiwani Zanzibar.
SOURCE: GLOBAL TV
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka.
Mgombea huyo ameutaka Umoja wa mataifa, Jumuiya ya madola SADC...
WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR
Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri?
Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua
Je yupi ni WA muhimu
Kati ya mgombea wa jamuhuri na mgombea wa Zanzibar?
Kama nchi ni Moja kwa Nini vyama wagombea wasichukue siku moja na wazindue...
Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji.
Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya...
ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua.
CCM wamepanga yafuatayo.
1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT.
2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar.
3. Wamepanga kuwawekea pingamizi...
Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar
Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote.
Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.