zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zamani ukisikia mjane fikra inakutuma ni mama wa makamo

    Hata vitabu tulivosoma au majarida yalikuwa yanatuonesha kwamba ni mama watu wa miaka kuanzia 35 huko. Ila sasahivi wajane ni vibinti vya umri mdogo kabisa yaani vingine hata 18 havina kabisaa.
  2. JamiiForums Tanzania Wanyakyusa wameanza utapeli wa kidini zamani

    Matapeli wa kidini, wanajimu na waganga wanajua kucheza na matukio. Mbasi Kwa muda fulani alikuwepo Mbasi aliyedai kuwa sawa na Kyala (kwa ukuu). Alijifunua kupitia kwa kaimu wake hasa sehemu za Lufilyo chini ya milima ya Ukinga. Hata kabla ya Wamisionari wa Berlin kufika kule, yule kaimu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

    Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
  4. JamiiForums Tanzania Jezi za Zamani na timu zisizojulikana zinatamba mno mitaani

    Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana . Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk. Brazil...
  5. JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siku Somalia itakuja kuwa nchi ya amani na Tanzania kuwa Somalia ya zamani

    Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma. Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI. Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Ni picha mjongeo ya zamani kuhadaa wananchi kuandamana

    Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ilikuwa Madrassa zamani hizo, Ndiyo kuna shida gani? It is not making sense, Waziri huyo na baba yake huwa siwaelewagi. Wapo kwa shari shari tu.

    Huyo aliyesema kuwa ikulu ilikuwa madrassa zamani mara baada ya kujengwa na wajerumani. Kama waingereza walitumia kuwapo watu kufundishia watoto "Ilim Duniya na Ilim Akhera" kuna shida gani? Hiyo ni historia ya nchi yetu....Siyo jambo la ajabu! Waingereza waliitoa nyumba ya Governor kufundishia...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

    Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!. NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
  10. A

    JamiiForums Tanzania CCM bado wanafikiri dunia ya leo ni ile ya zamani

    Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi. Leo dunia imebadilika: Vijana wana uelewa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mmoja alinisimulia kuwa zamani Idara ya Usalama wa Taifa (special branch) ndio ilikuwa inampangia Rais nani awe kiongozi

    Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere. Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi. Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere. Wangekuwa wanafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo

    Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

    Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga...
  14. JamiiForums Tanzania Ian Khama: Simtambui Samia kama Rais wa Tanzania sababu uongozi kaupata kwa mauaji na ukandamizaji wa wananchi

    Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Sisi wa kitambo hebu tujikumbushe kidogo hip hop ya zamani

    Wadau habari. Muziki wa hiphop wa sasa umebadilika sana.Lakini kwa sisi wenye kumbukumbu za zamani hebu tukumbushane. 1.Je unaikumbuka ngoma ya kwanza Unit aliimba Bugz Malone na D Rob.Bug alikuwa anachana kiingereza alafu D akapoga chorus ya Kiswahili iliyokuwa inaenda "kama hujui...
  16. JamiiForums Tanzania Alichoandika Daudi. T. Balali kupitia x ( zamani twitter )

    KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini Neno “information smoke screen” linamaanisha: 👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili. Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja: Mapambano kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya

    Wana JF, Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya. Tukiri ukweli: Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba urithi wa siasa za chama kimoja, mapinduzi, na siasa za ujamaa) kimejikita kwenye mfumo wa heshima...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa baada ya kueneza Uchochezi huko Uingereza!!!

    Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema: "Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  20. JamiiForums Tanzania Eti hawa ndio at some point man utd walitegemea watawarudisha katika ukuu wao wa zamani

    Hawa sio waimba singeli kabisa hawa..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…