zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  2. J

    Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

    Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa? Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa TAMISEMI, waziri mwenyewe wa...
  3. Kwa kujaribu kuitingisha misingi ya demokrasia nchini Marekani iliyodumu kwa miaka zaidi ya 300, Trump aliamsha dude!

    Rais Donald Trump wa Marekani amenajisi misingi imara ya demokrasia nchini humu kwa dhana potofu kwamba labda yuko juu ya sheria. Kwa kitendo cha wafuasi wake kuvamia bunge la nchi hiyo kwa nia ya kusimamisha shughuli halali za bunge hilo kama alivyowaamuru, amevuka mstari usiovukwa. Dunia ina...
  4. K

    Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  5. C

    Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

    Wakuu habari za Wakati huu Twende kwenye mada Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo? Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
  6. T

    Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...
  7. K

    Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

    Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida...
  8. Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  9. J

    Unaichunguzaje Bandari nzima wakati CEO wake yupo kazini? Hii inakuwa ni zaidi ya siasa

    Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini. Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga, Mtwara na Dar es Salaam. Agizo hili amelitoa kufuatia ripoti ya CAG kubaini ufisadi bandari ya Kigoma...
  10. Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza, nikarudia kama awamu mbili...
  11. Tanzania yaokoa zaidi yaTsh trilion 36 kutokana na matumizi ya gesi asilia

    Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linasema. Nchi iliokoa kiasi hiki kwa kutumia gesi asilia...
  12. Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  13. Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

    Makumbusho ya Kaole, Bagamoyo yana mti aina ya mbuyu wenye miaka zaidi ya 500. Mbali na kuwa na umri mkubwa, mti huu unaambatana na imani ambazo zilikuwa za watu wa eneo hilo. Mti huu unasadikiwa kuwa unapozungukwa kushoto kwenda kulia mtu anaongeza umri wa kuishi na vinginevyo anapunguza umri...
  14. D

    Joto la Dar ni shida kama vile Darful

    Hii hali ya joto haivumiliki; Na usiombe msoto huu wa joto uambatane na njaa au mafua makali. Unaweza kuwa kichaa hivihivi!!! Na ndiyo maana ukiangalia takwimu za polisi, matukio ya kikatili ni mengi sana kipindi cha joto na report za ndoa kuvunjika ni kubwa sana!
  15. K

    Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

    Mishahara ya watumishi wa Umma nimikubwa kiasi gani? Unatembelea ofisini kwa mtu unamiuta anasimu tatu smartphone zenye thamani ya si chini ya milioni mbili kila moja, unajiuliza haya mafedha wanayatoa wapi? Je, huu ni utajiri au nikukosa elimu ya matumizi za fedha? Inaweza kuwa tunashangaa V8...
  16. S

    Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  17. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  18. Kauli ya Mbowe huenda tukaona mengi zaidi ya Viti Maalum

    Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.
  19. Aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka 20 iliyopita apatikana ila hawezi kuongea

    Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi ===== Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…