Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

Ulisikia Wapi

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,617
2,000
Wakuu habari za Wakati huu

Twende kwenye mada

Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?

Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
19,737
2,000
Wakuu habari za Wakati huu

Twende kwenye mada

Nilikua nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?

Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Nguo zinazo chuja rangi tumia sabuni ya kipande badala ya unga
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
19,737
2,000
Wakuu habari za Wakati huu

Twende kwenye mada

Nilikua nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?

Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.

Epuka kuloweka nguo muda mrefu
 
Sababu ingine, Epuka kuanika nguo muda mrefu juani, nguo ikishaanza kukauka zihamishie kivulini
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,844
2,000
Nguo za vitenge na zile unazozipenda Sana..unazifua kwa SABUNI ya kipande ya JAMAA... Unasuuza na maji mengi povu lisibaki kwa nguo..

Kwa SABUNI ya unga..nguo zako nzuri...huziloweki..yaani ukishafikicha povu..unafua fasta..ikiwezekana fua Moja Moja..Suuza na Kama Kuna kivuli Anika kwa kivuli

Mimi amabae sijaingia uchumi wakati .hua natumia mbinu hii kufanya nguo zangu chache nzuri zidumu
 
Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,123
2,000
Sabuni za gharama ndo huwa nzuri... halafu cha ajabu zile za zamani ambazo zilikuwa za kawaaida kipindi kile eti sasahivi ndo za bei

OMO
TOSS
Na sabuni nyingine za zamani hususani za bluu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom