zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Arsenal kufunga zaidi ya goli tatu dhidi ya Manchester City mchezo wa Februari 15

    Baada ya kupitia breathing kidogo sasa vijana wa Mikel Arteta watarejea katika ubora wao hapo kesho kwa kuifunga Man City zaidi ya magoli matatu kwenye mchezo wa ligi kuu ya uingereza.
  2. JamiiForums Tanzania Asilimia zaidi ya 90 ya wanawake tunaooa SIO bikira SIO brand new ni second hand commodity.

    Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Urusi imepoteza majenerali zaidi ya 20, hii haijawahi kutokea

    Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20 Russian generals have already been killed in Russia’s war against Ukraine, Japanese newspaper Nikkei...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani yupi ana nguvu zaidi ya mwenzake?

    Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi? Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao. Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni vyema shule zenye wanafunzi zaidi ya 1000 zivunjwe ili shule zisiwe na zaidi 600

    Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero. Kama tunataka ufanisi ni wazi kuwa tunatakiwa kuwa na shule ambazo hazitakiwa kuwa na wanafunzi zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Rukwa: Zaidi ya Wanafunzi 24,000 hawajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu

    Kwa mujibu wa Afisa Elimu Mkoa, Samson Hango, Idadi hiyo ni kati ya Wanafunzi 300,000 waliopo Darasa la Kwanza hadi la 7 kutoka Shule za Msingi za Mkoa wote. Takwimu hizo zilikusanywa Desemba 2022 kupitia Mpango wa Serikali wa 'Shule Bora' unaofadhiliwa na UK Aid kwenye mikoa 9 ya Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya uchawi kwenye hii biashara ya huyu Ustadhi

    Twende kwenye mada direct! Kuna Ustadhi ana duka la samaki wabichi mtaa mmoja huku Dar. Kaweka vijana 2 wanauza. Sijui ni ndugu zake au ni wafanyakazi tu. Hili duka la samaki bei ni ya kawaida tu kama maduka mengine. Samaki wake na maduka mengine wapo pia. Cha ajabu anapanga foleni ya wateja...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini licha ya kuwa na Watanzania zaidi ya million 60 bado sura za viongozi wa upinzani ni zilezile?

    Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii! Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na...
  11. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Zaidi ya watu milioni 1 waandamana kupinga nyongeza ya umri wa kustaafu

    Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni. Wakiwa wametiwa moyo na...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye Mapenzi na Maufundi Kitandani Hakuna Zaidi ya Myao Africa Mashariki Yote

    Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa. Na kuna...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ikulu yetu haina taarifa za Rais zaidi ya picha zake na wazungu?

    Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais kasimama na huyu, akiwa mkutanoni, anapewa zawadi, n.k. Hatusikii kazungumza lipi na nani la...
  15. JamiiForums Tanzania Arsenal itafunga zaidi ya magoli sita kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya Man United

    Matokeo ya mchezo huo wa tarehe 22 January 2023 utapeleka msiba mzito kwa Manchester United. Magoli watakayofungwa yatakuwa zaidi ya sita. Saka, Martinelli, Odegaard na Nketiah.
  16. JamiiForums Tanzania Vishkwambi sita kwa walimu zaidi ya 20, nini maana yake?

    Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo? Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa shule! Je, ni sawa?
  17. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  18. JamiiForums Tanzania Serengeti yatoa mikopo isiyo na riba zaidi ya milioni 136/-

    Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imetoa mkopo usio na riba yenye kiasi cha Tsh. Milioni 136,374,130/- kwa vikundi 28 vya wanawake,vijana na watu wenye walemavu ikiwa ni mkopowa wa asilimia 10% za makusanyo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2022/2023. Akizungumza katika hafla fupi...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana kipi hasa katika CV yake zaidi ya kuropokwa tu na makelele ya uanaharakati

    Wasalaam Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana. CV ya Lissu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…