zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Malori zaidi ya 100 Himo yenye shehena ya mahindi yaamuriwa kuuza mahindi yao nchini badala ya kuyasafirisha Kenya

    Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Nurdin Babu kwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo Bw. Bashe. Bila shaka amri hii inatokana na zuio la Rais Samia kuzuia kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula nchini na duniani kwa jumla. Hoja hapa kwa nini serikali...
  2. Bajeti Uganda: Jumla ya Bajeti ni zaidi ya Tsh Trillion 36. Trillion 10 kulipa madeni chechefu

    Wagwan. Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023. Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi ya Trillion 57 za Uganda ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 36 za Tanzania. Zuri lililonivutia...
  3. Watu zaidi ya 150 wamekufa maji katika ajali ya boti nchini Nigeria

    Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
  4. F

    Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  5. Je, wajua Djibouti walivunja mkataba na DP-World?

    Haya mijadala inaendelea kuhusu uwekezaji wa bandari, hoja nyingi zikitolewa kutokana na masharti ya mkataba huo ambao unaonekana utaathiri uchumi wa Tanzania badala ya kuuendeleza. Kampuni ya Dubai inayosimamia bandari Zaidi ya 78 katika nchi 40 duniani imekuwa na kashfa kadhaa za ukwepaji...
  6. Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

    Habari kwenu, nyote Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe, Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa...
  7. Machi 2022, Kampuni tanzu ya P&O ya Uingereza inayomilikiwa na DP World ilifukuza wafanyakazi zaidi ya 800 wa Bandari

    Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
  8. M

    Majeruhi zaidi ya 15 wa ajali ya bodaboda hupokelewa MOI kila siku. Lema alikuwa sahihi

    Hii ni taarifa iliyoripotiwa na daktari wa MOI katika habari ya Saa 2:00 usiku huu. Kwa taarifa hii ni wazi kuwa taifa linapoteza nguvu kazi kubwa Sana. Pia soma: Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi
  9. Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  10. Hakuna kinachoshindikana zaidi ya Nia na Uthubutu. Walionenepa na wanataka kupungua inawezekana ndani ya Siku 50 tu

    Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?” Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku! Unavyoamka kula...
  11. India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

    INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
  12. CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

    Unajua kwanini? Jamaa ni wazoefu na wajanja sana kupita maelezo, ona mpima samaki kwa kura anavyotayarishwa. Vineno vineno, viugomvi ugomvi vitapamba moto hatimae atatimliwa na upande ule watampokea kwa mikono miwili na hatimae kumsimamisha kama mgombea na shujaa hatimaye kitakachofuata ni...
  13. Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
  14. Zaidi ya drones 40 zapigwa chini, Kyiv haipigiki sio kwa drones wala hypersonic

    Mifumo ya ulinzi wa anga Kyiv ipo imara sana, yaani drones za Iran na hypersonic za Warusi zimekua kama toy... Yaani usiku wa kuamkia leo zaidi ya drones 40 zimepigwa chini.... Ukraine's capital was subjected to the largest drone attack since the start of Russia's war, local officials said, as...
  15. Wadau Zaidi ya 3,000 Kunufaika na Mikopo ya Ufugaji Samaki

    WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
  16. Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

    Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
  17. Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  18. Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

    MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa. Rais wa nchi - Tiketi 5,000 Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000 Benki ya NBC - Tiketi 5,000 Benki ya...
  19. Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10. Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja. ---
  20. Zaidi ya watu 3,000 Wanaounga mkono Urusi,waandamana Sydney dhidi ya NATO

    COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…