yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Augustino Polepole

    Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya. Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
  2. JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasampa ovyo kabisa sikujua Lil Nas X yuko vile

    Habarini wanajamvi. Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA, Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.
  3. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  4. JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  6. JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  7. JamiiForums Tanzania Alieimba huu wimbo yuko wap sku hizi

    https://jumpshare.com/s/BPRuo4CnmKJMIEkfPZe4
  8. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Tundu Lissu Yuko gerezani?

    Salaam! Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani, Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea? Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa. Ninyi GEN...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Usimcheke mtu tulikuwa tunamcheka ayatollah kuishi kwenye mashimo leo hii na huyu wa kwetu yuko mafichoni kama panya

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tulikuwa tunamcheka ayatollah kuwa anaishi kwenye mashimo kama panya Lakin angalau yule mzee wa kipesian ana maadui kutoka nje Huyu wa kwetu anaishi mashimoni kama panya na maadui zake ni WA ndani Kwa taarifa zilizopo sasa wamemkalibia...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Humprey Polepole yuko hai? Ataachiwa!?

    Kuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee https://www.jamiiforums.com/threads/ilivyo-ngumu-kumlinda-mateka.1494053/ Kwa hali ilivyo ni wazi kwamba aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Cuba alitekwa na 'wasiojulikana' baada ya kuwabagaza vilivyo Swali muhimu je bado yuko hai? Na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mumeweka PM anayejitetea mwenyewe badala ya Wananchi? Hadi sasa hatuelewi yuko kwa ajili ya nini

    PM - Waziri mkuu ndio dila ya serikali, ndie anasimamia shughuli zote za serikali. Tunachokiona huku uraiani ni kwamba, kuchomwa moto kwa Ester kumemvuruga sana, Japo yeye ameyakana PM anajitetea sana kuliko uharisia. Wananchi hatujui nani wa kututoa hapa tulipo. Sisi wananchi hatujui dila ya...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

    Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭! Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…