Nchimbi yuko wapi?

Nchimbi yuko wapi?

Kwa viongozi wote ambao juu yao Kuna mamlaka kubwa kuliko mamlaka waliyonayo. Wajifunze katika kisa cha wafanyakazi wawili wa Farao, mnyweshaji na mwokaji.

Unapokisoma kisa hicho, soma kwa tafakari ya juu hasa kwenye ndoto walizoota.

Utagundua kwa nini mnyweshaji alirudishwa kazini na kwa nini mwokaji alikatwa kichwa.

Ukishindwa ya Biblia, Kuna kanuni za kibiblia zimeandikwa katika kitabu kisichofungama na Imani kinaitwa 48 laws of power.

Kiafrika Afrika, ukiwa ukiongozi na ujazingatia visa vya kiuongozi vya Biblia au hata vitabu vya kawaida, utakuwa na asilimia kubwa ya kuwa salama. Tofauti na hapo, utakuwa mithili ya mwokaji wa Farao.
 
Naomba mnisaidie, leo mtakuwa mmefanikiwa kumwona Nchimbi katika Kanisa Katoliki lolote hapa Nchini?

16 September 2026

Ni nini kimemtokea Emmamuel Nchimbi?

View: https://m.youtube.com/watch?v=75i5o6etyMQ
Nchini Tanzania, bado kuna shauku ya wananchi kutaka kujua aliko aliyekuwa Makamu wa Rais wa nchi hiyo Emmanuel Nchimbi.

Hii ni baada ya kutoonekana hadharani kwa wiki kadhaa baada ya taarifa za kujiuzulu kwake.

Tayari wito umetolewa na wadau mbalimbali, ikiwemo wanasiasa wakiitaka serikali kutoa maelezo kamili ya alipo Nchimbi.
 
halafu trt ni turkey na uturuki ni muslim, ndiyo maana naamini kabisa hii regime haina maisha kwani inakuwa cornered kila mahali na hawana rafiki tena, ningetegemea kwamba ktk watu wote angalau trt turkey wangeisapoti hii regime kwani ni muslims wenzao lkn wapi, hivyo tukaze buti na itaanguka tu.

i mean, haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu kwamba cdf, igp wakaitwa mahakamani, kwanza kihistoria hivyo vyeo tuliviheshimu sana, lkn hii regime wameshusha standard bar mpaka chini kabisa, sasa leo hii cdf anaitwa mahakamani, duh ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom