Ofisi ya Kiongozi wa ODM, Dkt. Oburu Oginga, imekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Seneta huyo wa Kaunti ya Siaya amefariki.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, sekretarieti yake imesema Oburu yuko hai, salama na yuko katika hali nzuri, na kuwa Aananchi wanapaswa...