yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  2. Echolima1

    Kiongozi mpya wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?

    Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi? Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo...
  3. Tlaatlaah

    Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  4. Ghayo El Yehudi

    Yuko wapi Jasusi Bichwa Komwe ?

    Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE - secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge Cc : Fake P
  5. Quavohucho

    Yuko wapi?? Lissa fickenscher

    Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa Hip hop, wakapata watoto wawili Mwaka 2019 akaachana na mabeste(akimtuhumu kuwa ni mvivu) na kuolewa...
  6. Hance Mtanashati

    Yuko wapi Augustino Polepole

    Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya. Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
  7. Mshana Jr

    Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  8. Mshana Jr

    Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  9. R

    Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  10. Poppy Hatonn

    Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  11. M

    Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  12. aise

    PostGE2025 Mwenyekiti msaatafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe Yuko wapi?

    Mwenyekiti msaatafu wa Chama kikuu Cha Upinzani Freeman Mbowe yuko wapi? Anakaa vipi kimya kwenye hali mbaya ya kisasa kama hii kuwahi kutokea nchini? Carlos The Jackal
  13. B

    Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  14. R

    Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

    Simuoni hapa JF Yulo wapi?
  15. Sitakuumiza Kamwe

    PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  16. K

    Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  17. kyagata

    Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  18. Kubwjing

    Yupo wapi bibie Faiza Foxy

    Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu... Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
  19. The Father of All

    GE2025 Yuko wapi mwamba Samia kwa sasa?

    Kuna machawa nataka kujua walipo wanafanya nini au wamefanywa au watafanywa nini. Na kwanini hawajatembelewa na kutembezewa kichapo? Ni wafuatao: Samuya Sululu Hassami Njaa Kaya Kiwete Abduli toto la mama Wanu Moody Mchengererwa Rizone Kiwete Salma Kiwete Daudi Albert Bashiti Albert Chalamila...
  20. robinson crusoe

    Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
Back
Top Bottom