Natumaini Ijumaa kuu inawaendea vyema wana jamvi wakati huu taifa likiwa kwenye maombolezo ya kitaifa. Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja kwenye hoja.
Wengi wetu kama sio wote tunafahamu kuwa waumini wa madhehebu ya kikristo wako katika maadhimisho ya juma kuu kama namna ya kukumbuka na...