Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,077
Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
Uislamu huoHuyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
Wafu hadi wa huku tandale au aliwakomboa wa huko kwao tuKama kweli Yesu alipokwenda toharani aliwakomboa wafubwote basi Yuda yupo zake mbinguni kuume kwa baba maana alijinyonga kabla Yesu hajafa. Ni kama alikuwa anamuwahi hivi 😂😂 tujifunze jambo kutoka kwa Yuda Wakuu.
Rudi shule?Kama hujui maandiko kaa kimya ueleweshwe, unauliza maswali ya hila mbaya
Hahaha waislamu Hao. Hahaha hahaha, hiloo huyoo jitu jeusi lenye sijdah kuubwaa pajini kama chapatiHaujui chochote hao ni wahindu we dada mary
MASHEIKH WAKILA TIZIUke
Rudi shule?
Na wewe Mwajuma Ndala ndefu chupi mkononi unajua nini kuhusu Ukristo hata uhoji mambo ambayo hukufundishwa?Haujui chochote hao ni wahindu we dada mary
Alicheza na muda 😂Kama kweli Yesu alipokwenda toharani aliwakomboa wafubwote basi Yuda yupo zake mbinguni kuume kwa baba maana alijinyonga kabla Yesu hajafa. Ni kama alikuwa anamuwahi hivi 😂😂 tujifunze jambo kutoka kwa Yuda Wakuu.
Hahaha hiloo jitu jeusi Tii lenye Sijdah kubwa kama chapati pajini
View: https://vm.tiktok.com/ZNdPQ5SqB/
Kumbe kiongozi una dini nimeacha kusikitika sasa 😂😂😂Hakumsaliti ila ilipangwa kuwa hivyo
Nani alipangaHakumsaliti ila ilipangwa kuwa hivyo