Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa.

Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto.

Ndio mwisho wa siku account zinakuwa terminated na YouTube, kwasabu wao kama YouTube hawakuwa hacked, kwahiyo wanaamini msanii ndiye kafanya hivyo.

YouTube sio wajinga, mtu kalogin na kastream, kosa liko wapi ?

Haya mashindano ya viewers kwahiyo Tutaishi Kwa huruma za YouTube, wajanja watatoboa

Kuhack YouTube na Kulogin YouTube ni vitu tofauti, YouTube akiwa hacked hawezi terminate account ya creator.

hongera Kwa anaecheat bila kukamatwa.
 
Hapo umeongea
 
Sio mitandao tu,

Wasanii ni kundi la vilaza ambao hawana general knowledge kwenye aspect nyingi sana.
Ni kweli kabisa mkuu wengine wanapenda habari za udaku kuliko kazi lakini hata kutenga muda wa dakika tano ku-hakiki security za account zao ni mtihani ndio maana unasikia akaunti ya msanii fulani imeangushwa na wadukuzi..
 
Wasanii asilimia kubwa hawana experience ya security kwenye account zao na wadukuzi ndio kazi yao waliobobea kwa muda mrefu naweza kusema wasanii ni wadhaifu sana kwa wadukuzi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom