yesu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa Muislamu kama humpendi Isa (Yesu) au kumdhihaki

    Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote! Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285): “…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…” Uislamu ni dini ya imani kamili...
  2. JamiiForums Tanzania Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na je Yusuph alijisikiaje baada ya mke wake Mary kuzaa mtoto ambaye si wake? Naomba kueleweshwa

    Mimi sometime haya mambo naona hekaya za abunuasi kabisa aisee nashindwa kuamini na sijui nani atakuja kuniaminisha halafu nikaamini hivi inawezekana vp bwana Yesu ambaye kwa wakristo wanasema ni mungu wao inawezekana vp huyo Mungu kwa mujibu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la mifugi hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

    Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo? Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Zawadi kubwa kwa Msabato mwenye ushahidi wa Biblia kuonyesha kuwa wanafunzi wa Yesu waliendelea Kuitunza sabato hata baada ya Kufufuka kwake

    Naomba nukuu kamili kutokea kwenye maandiko yaani biblia na sivinginevyo
  5. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

    Kama Mungu anajua Future yako Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni? Na Future inaweza ikabadilika?
  7. JamiiForums Tanzania Mimi ni mchungaji mwema. Asema bwana Yesu

    Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu. Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia bali nitapambana naye ili kuwalinda kondoo wangu. Ni mchungaji gani anawakimbia mbwa mwitu kujificha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ajabu na kweli: Mamilioni ya watu wa Iran wamgeukia Yesu!

    Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe. Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu. Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil...
  10. JamiiForums Tanzania Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

    Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu anafika madhabahuni anatoka bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Hili ndilo tatizo nililoliona madhabahuni kwa Mwamposa jana

    Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
  12. JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Shetani tunakukemea kwa Jina la Yesu: Waachie watu uliowateka

    Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi. 2...
  14. JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Yesu wa waisrael yuko wapi ktk vita yao dhidi ya WAIRAN?

    Habarini, Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
  16. JamiiForums Tanzania Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa

    Yesu Kristo ana nguvu sana. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake. https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
  17. JamiiForums Tanzania Taifa la ISRAEL halitambui Ukristo; na hata Yesu wanamuona ni "MHAINI".

    Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  19. JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…