Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
Biblia inaeleza wazi kuwa Nabii Yesu alisema hivo je kweli, utabiri huu umetimia kwani kwa sasa Ukristo umegawanyika katika zaidi ya madhehebu, dini au sekta 45,000 duniani kote.
Cha kushangaza kuhusu idadi hii ni kwamba karibu kila kikundi kati ya hivyo kinadai kwamba Yesu ndiye aliyeanzisha...
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!
Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”
Uislamu ni dini ya imani kamili...
Mimi sometime haya mambo naona hekaya za abunuasi kabisa aisee nashindwa kuamini na sijui nani atakuja kuniaminisha halafu nikaamini hivi inawezekana vp bwana Yesu ambaye kwa wakristo wanasema ni mungu wao inawezekana vp huyo Mungu kwa mujibu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la mifugi hivi...
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?
Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu.
Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia bali nitapambana naye ili kuwalinda kondoo wangu.
Ni mchungaji gani anawakimbia mbwa mwitu kujificha...
Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?
Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha
Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.
Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.
Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil...
Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini.
Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23).
Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
Shetani amewatekaje watu?
1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi.
2...
Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi.
je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Yesu Kristo ana nguvu sana.
Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake.
https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi
KIHISTORIA:
Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu).
Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.