Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?
Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?
Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza kwamba Yesu alikufa msalabani na kwamba siku ya tatu alifufuka. Wanasema Yesu sio Mungu na hawakubali...
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!
Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu.
Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni.
N.K.
Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo.
Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka.
Soka ni mchezo unaofurahisha na kuwaunganisha watu wengi duniani. Lakini, je, mmewahi kujiuliza kama Bwana wetu Yesu Kristo na mtume...
Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu alipokuwa pamoja na wanafunzi wake, alijifunga taulo kiunoni, akamimina maji katika chombo, akaanza...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu:
BC (Before...
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je...
Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna mwanasiasa mwenye utata, anayeitwa Lopelope. Alitangaza kwamba leo saa mbili atalihutubia taifa hilo...
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake
Luka 9:58
“Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai?
Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo?
CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa...
1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto.
2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha.
3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi.
4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo.
5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu.
6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
Geneva of africa is fall down
Lile jiji lililofahamika kama ngome ya upinzani na kitovu cha utalii africa sasa limekuwa pango la matapeli kwa wanaojiita manabii na mitume uchwara wanaotumia kivuli cha dini kufanya utapeli.
Wanauzia watu maji na mafuta wanayowaaminisha watu kuwa ni ya upako na...
Katika waraka wa kitabu cha wathesalonike wa pili,sura ya pili msitari wa kwanza hadi wa nne,Paulo anazungumzia tukio linalotangula kuja kwa Yesu .
Imesemwa siku hiyo haitakuja hadi yule mwasi ajiinuaye juu ya kila kitu kiitwacho Mungu afunuliwe.Naye ataketi katika hekalu la Bwana.
Swali hapa ni...
Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa...
Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni.
Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?
Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada.
Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.