yesu

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Yusufu na Nicodemus watu waliojitolea kumzika Yesu

    Katika simulizi ya kusisimua ya mwisho wa maisha ya Yesu hapa duniani, tunawaona watu wawili wa kipekee: Yusufu wa Arimathaya na Nicodemus. Hawa si watu wa kawaida walikuwa watu wa heshima kubwa, wanachama wa baraza la Sanhedrin (baraza kuu la wayahudi), lakini pia walikuwa wanafunzi wa Yesu kwa...
  4. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wafahamu mitume 12 wa Yesu na jinsi walivyokufa

    Utangulizi Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea kwa kukosa usimamizi na mapenzi wala huduma za msingi toka waanzilishi wa familia husika. Yesu...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Hoja za kina ya Goethe juu ya Mungu na Yesu

    ---------------------------------- Johann Wolfgang von Goethe alikuwa mshairi, mwandishi wa riwaya, mwanafalsafa, mwanasayansi, na mwanafalsafa wa Kijerumani aliyeishi kati ya 1749 na 1832. Anachukuliwa kuwa mmoja wa watu muhimu kabisa katika fasihi ya dunia na maarufu sana katika harakati ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waroma wanaamini Bob Marley ni NABI MWEUSI lakini waafrika wafia dini wanaamini manabii ni mohamad na yesu tu

    Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe. Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism. Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia...
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majabu ya Maneno ya Yesu na ukristo

    Yohana 5:30 Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka. Na haya ndio maneno aliyoambiwa ayaseme Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Yesu alipenda kuingia Nyumba za MATAJIRI na SIO masikini rafiki zake?

    Kuna mchungaji mmoja nilimuuliza KWA nini unapenda kutembelea Nyumba za MATAJIRI na Sio masikini akasema hata Yesu aliifanya hivyo. Mwingine Nigeria anashambuliwa KWA kutoa kauli kama hiyo. Ikabidi nizame kwenye NENO kumchunguza Yesu. Nikagundua.... Yesu alipokutana na Tajiri Zakayo...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwasalimia watu kwa kusema: “Bwana Yesu Asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo”?

    Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk. Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makobazi ya Yesu wa Nazareth

    Makobazi, a.k.a Sandals ni vazi pendwa kwa wachamungu wengi, toka enzi za kale za manabii, vazi la miguuni la makobazi limekuwa ni mujarabu kabisa. Uzuri wa kobazi hili ni kuwa ni vazi jepesi, vazi modest, lisilo na mbwembe, flexible kufanya Ibada. Katika manabii waliokuwa wakipenda vazi hili...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa: Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa ya kulevya

    Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Stori ya Yesu ndio stori mashuhuri zaidi kuliko zote kuwahi kusimuliwa na kuwa documented.

    Stori hii ya mtoto wa Seremala ambaye miaka 2000+ baadae stori yake imeungwa mkono na kuenziwa na wafuasi zaidi ya watu bilioni 2.6. Stori hii iliotengeneza utamaduni na jadi mpya duniani na ikabadirisha ulimwengu for good, utamaduni wa utulivu na amani, kutokuwa na kinyongo na kusamehe, utu na...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
  14. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Waraka wa PASAKA: Kwenu Vijana wa Ovyo, Lini 'Mtafufuka' Kama Bwana Yesu?

    Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

    Salaam, Shalom! Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk. Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na haki na MAISHA ya utakatifu, kujjitenga na DHAMBI,UOVU na machukizo. Nikwambie kitu, shetani hana...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha halisi ya Yesu

    Watu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake. Ni kama vile...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mitume wa Yesu wangerudishwa leo duniani wangehubiri huu upuuzi unaohubiriwa na mitume na walimu mamboleo?

    Wewe unaueyumbishwa na wimbi la hawa matapeli wanaojiita mitume, manabii na walimu tafakari vizuri. Mitume wale waliotembea ma Yesu wangepewa kazi warudi duniani wangekuja kuhuburi hii injili uchwara inayohubiriwa leo makanisani na redioni? Wangekuwa wanabwabwaja kwa lugha za mashetani...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya kushangaza yafanyika katika kaburi alilokuwa amezikwa Yesu!

    Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matukio saba (7) ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa msalabani

    Matukio saba ya kutisha yaliyotokea baada ya Yesu kusulubiwa saa sita mchana huko Goligota. 1. Giza Kutanda Mchana (Saa Sita hadi Saa Tisa) Katika Injili ya Marko 15:33 na Mathayo 27:45, inasemekana kuwa giza kuu lilitanda juu ya nchi yote kuanzia saa sita hadi saa tisa (saa 12:00 – 3:00...
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
Back
Top Bottom