yesu

  1. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mchungaji mwema. Asema bwana Yesu

    Mimi siyo mtu wa mshahara ,mimi ni mchungaji mwema.Mtu wa mshahara aonapo mbwa mwitu huwakimbia na kuwaacha kondoo wakiliwa na mbwa mwitu. Mimi hata aje hayawani wa namna gani siwrzi kumkimbia bali nitapambana naye ili kuwalinda kondoo wangu. Ni mchungaji gani anawakimbia mbwa mwitu kujificha...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu na kweli: Mamilioni ya watu wa Iran wamgeukia Yesu!

    Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe. Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu. Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

    Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu anafika madhabahuni anatoka bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Hili ndilo tatizo nililoliona madhabahuni kwa Mwamposa jana

    Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Shetani tunakukemea kwa Jina la Yesu: Waachie watu uliowateka

    Shetani amewatekaje watu? 1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi. 2...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Yesu wa waisrael yuko wapi ktk vita yao dhidi ya WAIRAN?

    Habarini, Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa

    Yesu Kristo ana nguvu sana. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake. https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Taifa la ISRAEL halitambui Ukristo; na hata Yesu wanamuona ni "MHAINI".

    Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu alipenda kutumia 'tatu' katika kusema na kutenda?

    Ukisoma Biblia vizuri, Yesu alikuwa akifanya kazi zake duniani katika namba 3 ambazo baadhi ya watumishi wanaitafsiri kuwa ndiyo Utatu Mtakatifu (Trinity-Baba, Mwana na Roho Mtakatifu). Kwa sababu mara zote, Yesu alipenda kutumia namba 3 katika kutamka au katika kutekeleza majukumu yake ya kila...
  13. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Busia atimuliwa kanisani baada ya kujitangaza ni ‘Maria Mama wa Yesu’

    Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa Roho Mtakatifu na kusikia sauti ya Yesu ikimwita. “Niliuona mwanga ukitoka angani ukishuka...
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  17. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  18. C

    JamiiForums Tanzania Paulo wa Tarso aliebuni Ukristo Baada ya Yesu

    Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Judith Nafula kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu

    Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu. “Mama aliniambia kwamba wakati ninazaliwa nilikuwa mzungu, ni nywele tu ndizo zilikuwa nyeusi. Madaktari walishangaa Mwafrika...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hata Yesu angezaliwa Tanzania,watawala wangemsulubu msalabani

    Sioni tofauti ya utawala huu na wa mfalme herode
Back
Top Bottom