Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots
Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea.
Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm
Walikuwa na misimamo ifuatayo
Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
Shalom shalom
Je, Kuna Uthibitisho wa Kihistoria au Kisayansi kwamba Yesu Alijaribiwa na Shetani?
Simulizi la Yesu kujaribiwa na Shetani jangwani ni moja ya hadithi maarufu katika Ukristo. Linaonekana katika vitabu vya Mathayo, Marko, na Luka ndani ya Biblia. Hata hivyo, tukilitazama tukio...
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo.
Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea
maelezo yanayotoka...
Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani.
Yesu hakuwa mzungu.
Kihistoria na...
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu.
Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu.
. Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani.
.Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi.
.Hawajui kuwa...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa...
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
Trump ametangaza unyakuo dhidi ya viongozi madikteta wanao ibania Marekani kuchota rasilimali, lakini hata wale wanaotesa raia wao huku wakishirikiana na serikali ya Uchina wanaweza kufikiwa na unyakuo.
Maduro wa Venezuela amekwisha nyakuliwa na baba Trump na sasa Yuko mawinguni huko USA. Hofu...
Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao.
Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu.
Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu
Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI
ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
Salaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana
https://www.bbc.com/swahili/articles/c20qg1qevp6o
Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga...
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀
Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia)
#D9 #SAMIAMUSTGO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.