Fumbo na kitendawili cha Kanye West dhidi ya Yesu Kristo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,988
Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana?
1669909089343.jpg

Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani, kwa ajili ya pesa na umaarufu, mpaka mama yake akatolewa kafara, ili ajenda za wakubwa wa dunia hii zisonge mbele.

Mtu aliyeuza nafsi yake kwa Shetani anawezaje tena kusamehewa na Mungu? Anawezaje tena kumkimbia Shetani bwana wake mpya? Anawezaje tena kulitaja jina la Yesu, wakati katika mkataba wake na Wakubwa alikatazwa katakata kulitaja jina hilo?

Ajenda za wakubwa lazima zisonge mbele, na zinasonga mbele kwa vitisho na ukatili wa hali ya juu. Ukishasaini mkataba kuzilinda ajenda hizo, unaiweka familia yako rehani, na unakuwa mtumwa kamili wa wakubwa wa dunia hii.

Mathalani: Ye ana watoto wanne aliozaa na Kim Kardashian, mlimbwende wa Marekani. Kama Ye amekwenda kinyume na ajenda za wakubwa, hadi wakubwa hao kuanza kumpiga vita, kwa nini watoto wake bado hawajatolewa kafara hadi leo hii? Naam, watoto wa Ye hawawezi kutolewa kafara kwa sababu ya mama yao, Kim Kardashian! Nafasi ya Kim kwa Wakubwa ni sawa na ya Ye. Wakubwa wanamheshimu Kim kama wanavyomheshimu Ye. Kwa hiyo, inawezekana kabisa kwamba kuna mchezo fulani unachezwa hapo.

Lengo la kutoa kafara kwa wakubwa wa dunia hii si damu. Hawana shida na damu. Wakiitaka wanaweza kuipata popote! Lengo la kutoa kafara ni kuhakikisha msanii haendi nje ya ajenda za kidunia, ukiwemo Mpango Mpya wa Dunia au "New World Order".

Katika kitabu cha Thomas R. Horn wa Marekani kiitwacho "Zeigeist", serikali ya Mpango Mpya wa Dunia ("New World Order") itaanza rasmi kutawala dunia mnamo mwaka 2025. Je, inawezekana Ye anatayarishwa kwa ajili ya mpango huo? Je, inawezekana Ye anatayarishwa kuwa Rais wa Marekani?

Unapoona senema kama hizi za akina Ye na washirika wake zikichezwa hadharani, jambo la hekima unalopaswa kufanya ni kuamka kutoka usingizini na kuwa na akili.

Wewe ni mtoto wa Mfalme. Hakuna mfalme kama Baba yako! Jilimbilikizie imani katika kipindi hiki cha amani, ili amani itakapopotea ubaki na imani.

Mdanganyifu hudanganya wanaopenda kudanganywa.

—Enock Maregesi, mwandishi wa vitabu
 
Mkuu Bujibuji huyo Enock Maregesi hajui alicho kiandika.

Ni HIVI you cannot sell a thing that you don't own. You don't own your soul. Your soul belong to God the Most High. So how can you sell something that you don't own?
 
Mara waseme mwamba ni certified copy of the original...Ni kweli Ye sio yeye ???
 
Mkuu Bujibuji huyo Enock Maregesi hajui alicho kiandika.

Ni HIVI you cannot sell a thing that you don't own. You don't own your soul. Your soul belong to God the Most High. So how can you sell something that you don't own?
Hiyo nafsi huyo mnunuzi akiinunua anafanyia nini??.. je nikiuza nafsi yangu naweza kuinunua nafsi yangu tena au ndio ntolee...????
 
Kama Ye anatamka jina la Yesu katika kipindi kigumu zaidi cha maisha yake jua kuwa jina la Yesu lina nguvu kubwa zaidi kuliko kitu kingine chochote kile ulimwenguni. Lakini je, kwa kutamka jina la Yesu, Ye ana akili au hana?
View attachment 2432834
Ye aliwahi kuutangazia umma kuwa alishauza nafsi yake kwa Shetani, kwa ajili ya pesa na umaarufu, mpaka mama yake akatolewa kafara, ili ajenda za wakubwa wa dunia hii zisonge mbele.

Mtu aliyeuza nafsi yake kwa Shetani anawezaje tena kusamehewa na Mungu? Anawezaje tena kumkimbia Shetani bwana wake mpya? Anawezaje tena kulitaja jina la Yesu, wakati katika mkataba wake na Wakubwa alikatazwa katakata kulitaja jina hilo?

Ajenda za wakubwa lazima zisonge mbele, na zinasonga mbele kwa vitisho na ukatili wa hali ya juu. Ukishasaini mkataba kuzilinda ajenda hizo, unaiweka familia yako rehani, na unakuwa mtumwa kamili wa wakubwa wa dunia hii.

Mathalani: Ye ana watoto wanne aliozaa na Kim Kardashian, mlimbwende wa Marekani. Kama Ye amekwenda kinyume na ajenda za wakubwa, hadi wakubwa hao kuanza kumpiga vita, kwa nini watoto wake bado hawajatolewa kafara hadi leo hii? Naam, watoto wa Ye hawawezi kutolewa kafara kwa sababu ya mama yao, Kim Kardashian! Nafasi ya Kim kwa Wakubwa ni sawa na ya Ye. Wakubwa wanamheshimu Kim kama wanavyomheshimu Ye. Kwa hiyo, inawezekana kabisa kwamba kuna mchezo fulani unachezwa hapo.

Lengo la kutoa kafara kwa wakubwa wa dunia hii si damu. Hawana shida na damu. Wakiitaka wanaweza kuipata popote! Lengo la kutoa kafara ni kuhakikisha msanii haendi nje ya ajenda za kidunia, ukiwemo Mpango Mpya wa Dunia au "New World Order".

Katika kitabu cha Thomas R. Horn wa Marekani kiitwacho "Zeigeist", serikali ya Mpango Mpya wa Dunia ("New World Order") itaanza rasmi kutawala dunia mnamo mwaka 2025. Je, inawezekana Ye anatayarishwa kwa ajili ya mpango huo? Je, inawezekana Ye anatayarishwa kuwa Rais wa Marekani?

Unapoona senema kama hizi za akina Ye na washirika wake zikichezwa hadharani, jambo la hekima unalopaswa kufanya ni kuamka kutoka usingizini na kuwa na akili.

Wewe ni mtoto wa Mfalme. Hakuna mfalme kama Baba yako! Jilimbilikizie imani katika kipindi hiki cha amani, ili amani itakapopotea ubaki na imani.

Mdanganyifu hudanganya wanaopenda kudanganywa.

—Enock Maregesi, mwandishi wa vitabu
Hapa bongo tunatakiwa tupeane deal za ndani za akina cf na wengine hao wengine tuwaache,tupeane michongo ya kupiga mshiko wa masherti nafuu,kuna mwamba anaitwa shad don huyu mnamuonaje wakuu na kafara yake ya kuchinja
 
Nafsi inaweza milikiwa na mtu mwingine, anayeshikilia nafsi ndiye mwenye uwezo waku control maisha yako.

Mfano Kwa lugha nyepesi wale wanaofungiwa ktk chupa, ni nafsi iliyo tekwa, au unalala upo Moshi lakin we Kila siku unaota upo mahali fulani. Ni nafsi Ile

Ktk vitu vigumu kuombea ni nafsi, kama Mtu anajiombea nafsi ni kitu Cha kuombea Mara Nyingi.
Hivyo nafsi inaweza kabidhiwa mahali Fulani iwe umejipeleka mwenyew au mtu kakupeleka huko

#nimebase spiritual zaidi ktk bible#
Mkuu Bujibuji huyo Enock Maregesi hajui alicho kiandika.

Ni HIVI you cannot sell a thing that you don't own. You don't own your soul. Your soul belong to God the Most High. So how can you sell something that you don't
 
Ivi vitu vya kufikirika waga mnavitoa wap bt kwa mshua kanye ndo kwanza RertaDation iko ngia no moja uyu mwamba nimlazima zione rangi zote yani imagine 466 kila.mwezi kaM child support duuh aisee sio mchezo
 
Nafsi inaweza milikiwa na mtu mwingine, anayeshikilia nafsi ndiye mwenye uwezo waku control maisha yako.

Mfano Kwa lugha nyepesi wale wanaofungiwa ktk chupa, ni nafsi iliyo tekwa, au unalala upo Moshi lakin we Kila siku unaota upo mahali fulani. Ni nafsi Ile

Ktk vitu vigumu kuombea ni nafsi, kama Mtu anajiombea nafsi ni kitu Cha kuombea Mara Nyingi.
Hivyo nafsi inaweza kabidhiwa mahali Fulani iwe umejipeleka mwenyew au mtu kakupeleka huko

#nimebase spiritual zaidi ktk bible#
Kuna dada kapeleka kwa mganga kitambaa chenye manii alichomfutia mumewe baada ya show
 
Back
Top Bottom