Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu...
Bodi wa nyama nchini imepiga marufuku matumizi ya dawa za kuulia nzi na wadudu wengine kupulizwa kwenye mabucha wakati nyama ikiwemo ndani ,jambo ambalo linalohatarisha maisha na afya za wanunuzi wa kitoweo hicho.
Dawa hizo ni sumu hatari zinafanya kazi taratibu ndani ya mwilini mwa binadamu...
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo.
Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji marufuku wa ulaji wa mbwa ni njia mojawapo itakayosaidia kulinda wanyama hao wasiteketee zaidi...
Dodoma. Serikali imesema watu wanaojiita watoa tiba kwa kutumia vyakula wanatakiwa kuendesha shughuli hiyo kwa kibali cha Wizara ya Afya.
Katazo hilo limetolewa na mganga mkuu wa Serikali, Dk Aifello Sichwale jana Ijumaa Septemba 11, 2021 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa...
Taarifa za muda mfupi uliopita
Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo
Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao
BBC
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
Naona CHADEMA wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye Taasisi mbalimbali za kijamii
Nadhani sasa hata Vyuo Vikuu siasa itarejea kwa kasi.
Hongereni CCT kwa uchaguzi wa Haki na Amani.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Serikali umepiga marufuku masomo ya ziada kwa shule za Serikali na hasa wakati wa likizo, kwa kubainisha kuwa yanaongeza gharama zisizo za lazima kwa wazazi na ni kinyume na waraka wa elimu namba tatu wa mwaka 2016,ambao unataka wanafunzi wapate likizo ama muda wa kupumzika.
Hayo yamesemwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.