yapi

Yapi is a surname. Notable people with the surname include:

Cyril Yapi (born 1980), French footballer
Gilles Yapi Yapo (born 1982), Ivorian footballerSee also

Enerji Yapi-Yol Sen v Turkey, is a European labour law case
Yapi Kredi Bank Azerbaijan, is a bank based in Azerbaijan
Yapi Kredi Publications, is one of the biggest publishing houses in Turkey

View More On Wikipedia.org
  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Maishani kamwe siwezi kufanya mambo haya, wewe ni mambo yapi huwezi kufanya?

    Peace be with you all sons of Zion, Katika maisha kuna mambo piga ua galagaza siwezi kuyafanya sioni manufaa yoyote yapatikanayo kwayo: 1. Kwenda kwa waganga 2. Kushabikia mamipira 3. Kunywa pombe 4. Kumrudia mwanamke niliemuacha 5. Kumpunja mtu haki zake Na wewe ongeza.
  2. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maudhui Mfuko ya TASAF?

    Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF? Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maeneo makuu ya maadili ya Mtanzania au ya Kitanzania ni yapi? Kama yapo, ni maeneo tanzu au mtambuka?

    Habari ndugu Wana jukwaa, Naomba kwa dhati na nia njema tusaidiane kuyaanisha maeneo makuu ya maadili yanaoyebeba kinachoitwa maadili ya mtanzania au Kitanzania ni yapi. Je, hayo maeneo makuu yanayobeba maadili ya Mtanzania ni yapi? Nyongeza je, hatua ya viongozi kuwa wala rushwa, wezi...
  4. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi?

    Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi? Naombeni nondo
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!! Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Makazi bora ni yapi?

    Wengi huwa tunajenga makazi yetu ya kuishi kutokana na ukubwa wa vipato vyetu; wapo watakao jenga kwenye eneo la 10x10m, 20x 30m, 40 x 50m n.k Pia, wapo watakaojenga kwenye eneo la ekari 5, 10, 20 n.k Ila kwa mtazamo wangu; mimi naona makazi bora ni kujenga kwenye eneo lenye angalau ekari 10...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wanatoa kinyesi cheupe, ni ugonjwa gani huu na tiba yake ipoje?

    Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi. Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba yake.
  9. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

    Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi. Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
  12. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  13. baby zu

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhambi makubwa?

    Ni wajibu kwa muumini kuyajua madhambi makubwa, na hii itasaidia kwake kuyaacha na kuyaepuka yale yote yatakayo mpelekea kuyatenda yale yatakayo mchukiza mola wake mlezi na kumuepusha na adhabu yake. Madhambi haya makubwa yamegawanyika mara mbili *kwa kuyatenda Mfano kuzini, kuiba nk *kwa...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  15. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

    Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
  17. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

    Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo...
  18. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kiapo Cha damu Ni nini? Na yapi ni madhara yake

  19. M

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Samia ni Jembe - Mbowe

    "Tukianza kutafuta asiye na dhambi ili tujadiri naye kuhusu kesho yetu hatutampata,hivyo tuna kila lazima ya kuacha chuki na visasi na kuwaamini viongozi wetu" "Siwezi kuwa chawa wa Mama (Rais Samia) na wala sio wa chawa wa mama, lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, utawala wa Mama japo...
  20. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ni mashirika yapi ya serikali hayapo kwenye mfumo wa Lawson?

    Naomba wenye uzoefu na ufahamu wanisaide ni mashirika gani (kwa majina) ambayo hayapo kwenye mfumo wa Lawson. Mimi ni muanga wa kuacha kazi serikalini mwaka 2012 na inanisumbua kurudi kwenye ajira za serikalini. Nimeshauriwa na watu nijaribu kuomba kwenye taasisi za serikali ambazo hazitumii...
Back
Top Bottom