yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Maoni yangu Wizara ya Afya; Haya mambo yatungiwe sheria na nchi nzima kila hospitali zote zizingatie

    Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana! Ni vigumu kuyaelezea yote hapa...
  2. N

    Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
  3. Siku ya Maalim Seif, nyongeza yangu kwa Mohamed Ghassani

    Somo yangu Mohammed Ghassani kaandika anasema, ''Japokuwa aliondoka duniani akiwa hajawahi kuwa rais wa serikali, hilo halikumnyima nafasi yake ya kuwa baba wa utaifa wa Zanzibar - alama kamili ya Uzanzibari na shujaa wa Wazanzibari.'' Ningependa nami niongeze kitu kidogo katika hayo maneno...
  4. C

    Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  5. Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

    Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu. Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
  6. Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka

    Ndugu zangu huyu binti nimetoka naye mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndio ninamjua vizuri sana. Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badaye na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika...
  7. Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

    Habari Wakuu! Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu? Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo? Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu! Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
  8. C

    Msaada pikipiki yangu ya san lg inashida

    Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
  9. Maoni yangu: Benedict Wakulyamba amrithi IGP Sirro

    Salamu kwenu wadau!!! Nchi yetu kupitia jeshi la polisi imeingia dosari kubwa baada ya polisi kuhussishwa na mauaji mengi ya RAIA nchini, hii nikutokana na aidha majukumu yao au ni ishara ya kuhitaji uongozi mwingine mpya. Au bahati mbaya yawezekana. Rejea maujaji ya Mtwara ya mfanyabiashara...
  10. K

    Wachambuzi wa siasa za kimataifa naomba mnijibu maswali yangu haya kuhusu taifa la USA

    Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin? Kwanini Marekani kashikia bango mgogoro huu? Kwanini Urusi anashauri NATO isiiunge Ukraine? Lakini kwa Nini Marekani...
  11. Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

    Daah kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua leo nimeweza kuwa Uptodate naenjoy na Windows 11 kwenye 2GB RAM PC
  12. M

    Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  13. N

    House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

    Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko. Aliyepo serious...
  14. T

    Alichonihadithia jamaa yangu anayesoma China kuhusu chanjo ya COVID-19, kimenistua

    Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au kuhakikisha kila raia wake amechanja ili kujikinga na corona. Yule rafiki yangu ameniambia serikali...
  15. Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

    1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza...
  16. Ndugu yangu anafanya na kuongea mambo ambayo hayaeleweki

    Habari za wakati huu wana JF wenzangu. Washiriki wenzangu wa kila hali. Leo na mimi nimepata tatizo, tena kwa ndugu yangu, tena ninayekaa nae nyumbani kwangu. Tatizo analolipitia ni anasikia SAUTI za watu zikimuita akiwa ndani, anasikia magari yanakuja nyumbani, anataja polisi wanakuja, mara...
  17. Huyu jirani yangu sasa nimemvumlia vya kutosha

    Habari Wana JF? Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada. Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna huyu jirani yangu mmoja mke wa mtu, kaolewa ni mke wa pili kwa mshikaji jamaa noti anazo. Toka...
  18. Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  19. Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  20. Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia. Ni ndefu sanaa we somaa.! Japo siwezi kuyaandika yotee, maana UYATIMA wangu ulinipitisha kwenye makubwa sanaa..!! Nilizaliwa kwenye familia ya watoto 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…