Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu.
Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea simu yangu, mara ukaingia ujumbe wa WhatsApp, kutazama namba ngeni (sijaihifadhi). kufungua nitazame...