Dada kupatana na mume wake mahusiano na shemeji yangu yanaanza kuyumba, amesahau tulikotoka

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,410
Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia.

Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata ukipata shamba utalipata wapi mjini hapa? Huu msemo umepitwa na wakati kwa huku mjini.

Shemeji huwa anakuwa rafiki yangu sana wakigombana na dada. Si mimi huwa nakuwa upande wake na na kuwa mkali kwa dada, ndiyo maana.

Lakini sasa kama miezi kadhaa hivi naona wana amani, mimi shemeji kama hanioni. Anasahau sisi tuliunga ushirika dhidi ya dada. Sasa wapo na amani ameanza mara rimoti ya DStv haionekani. Mara umeme unaisha asubuhi. Mpaka akirudi ndiyo anaongeza ambao utaisha tena kesho asubuhi.

Nimemtumia ujumbe kuwa shemeji umeme umeisha kuna tamthiliaa nafwatilia. Kaniambia niende kwa wakala, basi nimeenda nakimbia nirudi kuja kuangalia hii tamthilia. Nimefika nimesubiri kama nusu saa. Baadaye nikamtafuta, akanitumia ujumbe yupo kwenye mkutano.

Akatuma ujumbe wa muamala kuwa katuma Tsh 20,000 kwenye namba yangu. Nikaona nimwambie wakala natoa. unadhani kulikuwa kumetumwa kitu? Nimeaibika sana. Kwa wakala nimeishia kutoa tu maoni, pesa sijatoa! Nimemwambia tu wakala hawa wenye mitandao wangetoa kabisa tozo kutoa iwe bure kabisa na pia kama mtu hana salio basi akopeshwe moja kwa moja.

Akaniambia tu maoni niliyoyatoa wameyapokea. Basi nimerudi nyumbani mnyonge maana shemeji amezima na simu, nilipiga kama mara 40 hivi kumkumbusha sasa hivi nikipiga wanasema namba yake haipatikani, sijui chaji imeisha?

Ingekuwa kipindi ambacho ana ugomvi na dada hapo angenitoa hata 10,000 ya mimi kwenda kubetia na kutoka mtoko na Mwantumu, ila leo kanichinjia baharini. Anasahau haya yote ni maisha, na dada hatabiriki. Kichaa chake kikipanda mimi tu ndiyo huwa namtuliza pale nyumbani.

Nimewaza sana, kuwa au nirudi tu nyumbani kwa wazazi niwe namwendesha mzee anapoenda kufuatilia mafao yake ayapatehalafu nije mwonesha shemeji kuwa si lolote si chochote?

Bibi na bwana wakigombana nyumbani, waaache wenyewe mpaka wakielewana. Ukiwaaingilia, wakipatana utabaki na nani?
 
...Hama Hapo ukajitegemee. Unaogopa ataona kama Umesusa? Mbona yeye amekususa??
 
Kaka shemeji yako Kisha kuchoka tafuta shughuli ya kufanya uhame hapo, Kuna siku dada yako atapigwa na ukiingilia nawe unapigwa
 
Shem hana ubavu wa kumpiga sister... Acha kabisa.... Sister wangu ni mbabe hasa....shem mwili mwembamba sana.
 
Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime. Wagombane tu na vitu asilia.

Shida sasa sisi tunaoishi mjini. Unatafuta jembe ndani hupati. Hata ukipata shamba utalipata wapi mjini hapa? Huu msemo umepitwa na wakati kwa huku mjini.

Shemeji huwa anakuwa rafiki yangu sana wakigombana na dada. Si mimi huwa nakuwa upande wake na na kuwa mkali kwa dada, ndiyo maana.

Lakini sasa kama miezi kadhaa hivi naona wana amani, mimi shemeji kama hanioni. Anasahau sisi tuliunga ushirika dhidi ya dada. Sasa wapo na amani ameanza mara rimoti ya DStv haionekani. Mara umeme unaisha asubuhi. Mpaka akirudi ndiyo anaongeza ambao utaisha tena kesho asubuhi.

Nimemtumia ujumbe kuwa shemeji umeme umeisha kuna tamthiliaa nafwatilia. Kaniambia niende kwa wakala, basi nimeenda nakimbia nirudi kuja kuangalia hii tamthilia. Nimefika nimesubiri kama nusu saa. Baadaye nikamtafuta, akanitumia ujumbe yupo kwenye mkutano.

Akatuma ujumbe wa muamala kuwa katuma Tsh 20,000 kwenye namba yangu. Nikaona nimwambie wakala natoa. unadhani kulikuwa kumetumwa kitu? Nimeaibika sana. Kwa wakala nimeishia kutoa tu maoni, pesa sijatoa! Nimemwambia tu wakala hawa wenye mitandao wangetoa kabisa tozo kutoa iwe bure kabisa na pia kama mtu hana salio basi akopeshwe moja kwa moja.

Akaniambia tu maoni niliyoyatoa wameyapokea. Basi nimerudi nyumbani mnyonge maana shemeji amezima na simu, nilipiga kama mara 40 hivi kumkumbusha sasa hivi nikipiga wanasema namba yake haipatikani, sijui chaji imeisha?

Ingekuwa kipindi ambacho ana ugomvi na dada hapo angenitoa hata 10,000 ya mimi kwenda kubetia na kutoka mtoko na Mwantumu, ila leo kanichinjia baharini. Anasahau haya yote ni maisha, na dada hatabiriki. Kichaa chake kikipanda mimi tu ndiyo huwa namtuliza pale nyumbani.

Nimewaza sana, kuwa au nirudi tu nyumbani kwa wazazi niwe namwendesha mzee anapoenda kufuatilia mafao yake ayapatehalafu nije mwonesha shemeji kuwa si lolote si chochote?

Bibi na bwana wakigombana nyumbani, waaache wenyewe mpaka wakielewana. Ukiwaaingilia, wakipatana utabaki na nani?
Unawekeza kwenye mahusiano ya dada yako? Haya maisha!
 
Mi ningekaa Kimya, wakisema remote hamna basi sawa naenda kulala, wakisema umeme hamna basi sawa napoa, siku kichaa cha mke kikiamka ole wake anifate tena. Namwambia malizaneni wenyewe. Mambonya ndoa waachie wenyewe
 
Ni mara chache sana mtu hujikubali kwa hali yake aliyo naho.

Nakupongeza kwa kujikubali
 
Mi ningekaa Kimya, wakisema remote hamna basi sawa naenda kulala, wakisema umeme hamna basi sawa napoa, siku kichaa cha mke kikiamka ole wake anifate tena. Namwambia malizaneni wenyewe. Mambonya ndoa waachie wenyewe
Huu ushauri mzuri. Tena wakianza ugomvi mimi kama siwasikii....
 
Back
Top Bottom