yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ya kuja kumuoa Mfalme Zumaridi imefikia tamati jana. Ni huzuni

    Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni kuhusu kumpenda na kutaka kumuoa Mfalme Zumaridi. Kiukweli kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiteketea ndani...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Shem kayaachia mashuzi ya haja mbele yangu. Nifanyeje?

    Naingia bafuni kuoga maji niliyowekewa na dada yake ananiona! Dakika moja na nusu baadae anaingia chooni wakati, kwa watu wazima na jinsi choo chenyewe kilivyojengwa, tunakuwa na kawaida ya kusubiriana kwanza sababu yanayoendelea chooni huwa yanasikika bafuni.....labda awe mtoto. Basi huyu...
  3. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

    Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa nafurahia Sana nilikutana na mtoto hajui kusoma vizuri au hata kuandika sawasawa nikamuuliza mama au...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanaopelekwa Mirembe wanahitaji faraja sana

    Maisha ya Mirembe sio poa kabisa yaani ukiona ndugu yako au mwanao a aende mirembe jaribu kumuombea ama hakika maisha ya kule si poa mtu wangu yaani sio poa unaelewa sio poa? Yaani maisha ya kule ni kama jela but mtu unajaribu kijizima data tu ila sio poa. Nilienda mirembe kufanya utafiti mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

    Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...
  7. JamiiForums Tanzania Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

    Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani. Niko na age 27 ila mpaka sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Mke wa ndugu yangu aivunja ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe

    Waslaam wakuu! Nipo na ndugu yangu mmoja ambaye sio ndugu wa toka nitoke ila baba Yake na baba yangu Ni ndugu wa baba mmoja. Ndugu yangu alikuwa na mke na wamefanikwa kupata watoto wawili wa mvulana na msichana. Ilifika wakati maisha yakabana Sana jamaa yangu akalazimika kwenda mjini kuhenyeka...
  9. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu wa kike anakula sana mkaa

    Poleni na mihangaiko ndugu zanguni. Hivi ni nini kinapelekea mtu kupenda kutafuna mkaa? Na ni nini cha kufanya ili kuacha kutafuna mkaa? Kuna huyu shemeji yangu wa kike yaani mdogo wake na mamaaenu(mke wangu) anatafuna mkaa kuliko kawaida. Hii kitu ameianza muda tangu hana Mtoto hadi sasa ana...
  10. JamiiForums Tanzania Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

    Najua kwamba kuna karma na ubaya lazima utarudi ila siyo kesi. Huyu mke wa rafiki yangu ni wale wanaosemaga Shem darling, tumekua karibu kwa miaka sasa na ni marafiki na mama watoto. Maana tulikutana kwenye ishu za chuo ambapo tulipanga nyumba Moja, hivyo mademu zetu wakawa marafiki mpaka Leo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Smartphone yangu haiunganishi wireless internet kwenye kompyuta yangu

    Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer. Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu...
  12. JamiiForums Tanzania Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  13. JamiiForums Tanzania Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

    Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale. Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

    Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A. Umri wangu ni miaka 24 Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa? Na Kama nikienda...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kampeni za 2025 ndio zimeanza au macho yangu?

    Wana wema, Naomba kuuliza nini hasa maana ya kuruhusu mikutano ya siasa. Nasikia na kuona ratiba ya vyama vya siasa hasa upinzani inaonesha ni kuzunguka nchi nzima. Kufanya nini ilhali hakuna Ilani wanayotekeleza, hakuna miradi wanayokagua nk. Nimeanza kuelewa nini ilikuwa lojiki ya katazo ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

    Naombeni msaada tafadhali. Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc. Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
  17. JamiiForums Tanzania Tigo rudisheni hela yangu

    Wakuu mko vyedi najua, Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa. Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
  18. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kijijini

    Siku mbili tatu zilizopita, nilijaribu kutembelea vijiji kadhaa katika mikoa mitatu; nilichokutana nacho huko ni kama ifuatavyo:- Vijana wamepungua vijijini Kuna vijana wachache sana, waliobaki vijijini; nilikuwa natembea umbali mrefu sana bila kukutana na mtu/kijana. Katika mita sq 2000 naweza...
  19. JamiiForums Tanzania Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    . Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na Rubi. Ni mnamo mwaka Juzi mwanzoni nikiwa mji wa Uvira amabapo jilikutana najamaa Akiwa na jiwe alilo...
  20. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…