yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
  2. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

    Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja. Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili...
  3. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wema wako ulibadili maisha yangu

    Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa mwanaume yule alikuwa ni ombaomba. Alikuwa amechafuka sana, nywele zake na ndevu zake zilikuwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Chawa wa nafsi yangu

    “Zungu la wazungu nyayo zako uvungu wangu, usikanyage vumbi baba simama begani kwangu kichwa kiguse mawingu, baba hauna baya, baba ukifa hauozi, mbinguni njia yako ni ya lami na dhambi zako nachukua mimi, hata ukimtaka mke wang…..” Ayaa”,ninalalama kwa sauti nikiusoma ujumbe unaonitaarifu juu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TUTUBA (same).damu yangu itaulizwa juu yako..

    Kwa nilipofikia hivi Sasa mkurugenzi TUTUBA Kama nitafanya Jambo lolote lile la maamuzi magumu Basi wa kumuuliza Ni ANNA TUTUBA MKURUGENZI SAME..NA CABINET YAKE
  7. JamiiForums Tanzania Punyeto inavunja ndoa yangu

    Nianze kwa kujitambulisha Eeeh Mimi ni kijana wa miaka 28 Nina kil0 93 Naishi dar....Nina Visa vingi katika mahusian0 yangu ya MAPENZI,vingi nishawahi p0st humuhumu... Nip0 katika nd0a mwaka sasa Ila na0na nd0a yangu inaelekea kuangamia huku nai0na,Najaribu kuik0a ila Nahisi kushindwa...Kabla...
  8. JamiiForums Tanzania Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  9. JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kukaa mbali na mama yangu, ila tabia ya dada yangu imening'oa nyumbani

    Iko hivi baada ya kutoka mjini nikiwa na mke wangu nilienda nyumbani kwa wazazi wangu baba na mama, sasa pale kuna dada yangu ambeye namfuata yeye ameachika hivo yupo tu nyumbani anadanga Ikumbukwe tulikuwa tunapika chakula cha pamoja tunakula kifamilia, tabia za dada yangu ni mchoyo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Taja Wimbo utakaosindikiza Furaha yangu Kubwa ya Ushindi wa USM Alger FC leo kwa Mkapa

    Nazisubiria mzitaje tu ili Nikeshe nazo.
  11. JamiiForums Tanzania Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana Nimefurahi sanaaaaaa
  12. JamiiForums Tanzania Hofu yangu huenda Taifa likapatwa na aibu jioni hii

    Jioni ya leo itachezwa fainali ya kwanza ihusuyo mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu ya Yanga dhidi ya Usm ya Algeria. Hivi karibuni yamepata kutokea matukio ya ukatikaji wa umeme mara kwa mara ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo fainali hiyo inachezwa leo jambo...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni kuhusu uwajibikaji na utawala bora

    UTANGULIZI: Ili nchi yoyote iweze kuendelea razima iwe na mifumo mizuri ya kiutawala na uwajibikaji, Utoaji wa Elimu kwa wananchi na usimamizi wa rasilimali za Taifa. Kwa kuzingatia misingi ya maadili iliyoainishwa katika Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977...
  14. JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kuchat na Mods tu (staff wa JF on site vs Mimi mchwakichuguu

    SoMo linaeleweka, Zaid namkaribisha To yeye kipenzi, Mh mwinyi mh Mshana Jr baby nillaah wengine ni Keagan Paul SualehJaphary_ Jo 93 Mh Paw Diversity Mhariri Bridger Active Wand bila kumsahau Active mwenyewe. HOJA KUU NI KUNIPA CHEO. ILI NIPANDE CHEO CHA MSEREREKO JF LEO LEO NIFANYE YEPI
  15. JamiiForums Tanzania Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

    Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Je, hili tatizo ninalo peke yangu?

    Habari wadai I hope jtatu iko jema kwenu Nina tatizo ambalo nikiri sijawahi kulisikia kwa mtu yeyote nimeamua kuliweka hapa kama yupo mwenye tatizo kama langu au mwenye ufahamu a share experience yake. Iko hivi huwa napatwa na shambulio la moyo pindi nking'atwa na nyuki au nyigu (bee & wasps...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

    Habari Wakuu, Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town. Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo. Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
  18. JamiiForums Tanzania Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

    Based on a true story. CHAPTER 1 Zamani kidogo kipindi iko nipo A - level form 5 naelekea form six ile likizo kubwa nilienda kwa Mama likizo mkoa X. Mama anaishi mkoa X ila mimi naishi na dada Dar es salaam. hivyo mara nyingi likizo naendaga Dar es salaam. Huko nilikaa kwa amani tu ila balaa...
  19. JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu party 2.

    Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu. UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

    Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…