yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

    1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina ya Bunju 7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024. Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele...
  7. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  10. JamiiForums Tanzania Gari yangu nikiweka gia ya parkingi au N inazima

    Habari wakuu,nina gari yangu Mark x nikiwa naweka gia ya P au N inazima Tatizo linaweza kuwa ni nini kabla sijaenda kwa fundi nipate idea kidogo, nipo Dodoma
  11. JamiiForums Tanzania My week end is super crazy

    My weekend is wacko. Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb...
  12. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

    Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya...
  14. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu alilewa madaraka mwisho wake ukawa aibu

    Hii code ni nyepesi sana kuna baadhi ya watu wataing'amua. Nilipokuwa advance form 5 jamaa yangu/ rafiki yangu alinishirikisha kitu kwamba anahitaji kugombea kuwa head prefect wa pale skul. Mimi sikumpinga, huyu mwamba tulikuwa ni watu wa utani sana na kuzinguana sana ila mwisho wa yote tukiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

    Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu. Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni. Akaondoka mara tu nikapiga...
  16. JamiiForums Tanzania Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  18. JamiiForums Tanzania Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka 2023 umekuwa kero kubwa

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa uhamisho kwa watumishi mwaka jana 2023 watumishi wamekuwa na kilio kisicho na mtu wa kunyamazisha, kwa maana hakuna mtumishi aliyeomba uhamisho na akapata kibali cha kuhama kwenye mfumo. Mbaya zaidi ukipiga simu TAMISEMI hata wao hawajui ni lini vibali hivyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama. Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…