Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani.
Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha kufundisha timu kubwa kama Yanga. Na matokeo yake tuliyaona kwenye mechi alizozisimamia.
Moja ya...
Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na ladies free?!
Kwa sisi Simba viingilia ni kama inavyoonekana
Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM
Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano
Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
Nilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu.
Nakazia Tena, Aziz adambwile Hana uwezo wakuisadia Yanga kama namba sita...
I salute you kinsmen
Tayari miloud kashatimuliwa
Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu
Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana
Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.
Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa.
Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa.
Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz
Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu
Pili, Ogopa sana...
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z.
Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa
Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka
TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake
Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic.
Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking.
Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
I salute you kinsmen.
Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka..
Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo.
Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line.
Huyu alikuwa na...
Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile, ambae binafsi licha ya magoli yake yakubahatisha nina amini ndie alikua tatizo kubwa la Yanga sc...
Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC.
Ibrahim...
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana na timu za Mbeya hasa Ihefu na Mbeya City zimekuwa zinaipa Yanga kichapo cha mbwa koko mara kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.