Habari..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamaa ni bonge la mshambuliaji ana speed,nguvu na akili kubwa sana anapokua ndani ya boksi jamaa ni hatari.
Yanga itakapokutana na hii timu huyu Kapoul(Manha) ni wa kuchungwa sana.
Na ndie mfungaji bora kwenye ligi kuu ya Angola.
Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli!
Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye...
Akizungumza na jembe FM Bi jasmine Razack ambaye ni msimamizi wa mshambuliaji wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania Clement Mzize amesema klabu ya yanga imegoma kumwachia Mzize kujiunga na klabu ya Al Masry kwa ofa waliyokuja nayo huku Yanga wao wakitaka kiasi Cha dola million moja ili waweze...
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Simba SC wamekusanya jumla ya alama 48, wakizidi vilabu vikubwa kama Pyramids FC, Wydad Athletic Club na Zamalek SC ambavyo...
Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu.
Je, unadhani thamani ya mikataba inayoingiwa na timu zetu za Tanzania inaendana na hazi na ukubwa walionao?
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.
Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba...
Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi...
Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
Habari mwana jukwaa la sport.
Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde.
Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona...
Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao.
Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili...
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.
Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?
Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.