Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi...
Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
Habari mwana jukwaa la sport.
Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde.
Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona...
Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao.
Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili...
Ni hoja inayojitokeza miongoni mwa Wadau.!
Hasa kipindi hiki ambapo Simba Sports Club imeingia mkataba mwingine mnono na Betway wenye thamani ya Bilioni 20.
Wadau wa wasoka Wamekuwa Wakijiuliza hivi Yanga Afrika mbona kuna Ukimya kwenye eneo la Mikataba ?
Ule mkataba wa bilioni 4 kwa mwaka...
I wil be short
Moja ya hatua ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Yanga SC kwa msimu wa 2025/26 ni kurudi kwenye uwanja wa Azam Complex.
Ukiwa ni uwanja wenye miundombinu na mazingira bora kwa mashabiki ,Mechi za KMCc zina muonekano mbaya sana , uwezi kuenjoy match kwa screen , kama...
Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC.
:
Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
Kitengo cha 'Sheria' pale Yanga huko nyuma kilijidhihirisha kuwa na mapungufu makubwa ya weledi.
Bwana Patrick Simon ndiye aliyekuwa mkuu Wa Kitengo alifeli sana Kwenye kesi nyingi za Yanga mpaka siku za karibuni akaamua ang'atuke.Ipo Mifano kama Kesi za Kina Morrison kule CAS na rufaa ya...
Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani
Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia...
Kama ushawahi kuona wachimba madini wakiwekeza pesa nzuri na mwisho wa siku madini yakitoka hakuna la kushuku kwa mafanikio yao.
Huyu mr dengu za pilipili zenye binzari kali napata mashaka ya uwekezaji wake Simba.
Hakuna pesa nzuri ya kununua wachezaji wala kuonesha mabadiliko ya Simba zaidi...
Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!
Utopolo watamfukuza.
Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu.
#NOREFORMS_NO_ELECTION
Asante.
Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.