Wana Yanga SC wenzangu hivi tunamuelewa vyema makamu mwenyekiti wetu kwa hizi kauli zake za kushangaza na kushtua?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,926
Anaseme kwamba....

" Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ".

Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa anahojiwa na Waandishi wa Habari. Aliianzia na Wasafi fm nikadhani labda kile Kipigo cha Mwanza kilimchanganya nikamsamehe, akaja tena kuirudia Kuisema kwa Radio One nikaanza kuhisi kuwa labda Makamu Mwenyekiti wetu ama amekunywa Pombe au amevuta Bangi na leo hii ameisema tena muda si mrefu akizungumza na Efm na kunifanya nianze Kuamini kuwa huenda Makamu Mwenyekiti wetu Yanga SC labda ana ' Uwendawazimu ' na Sisi wana Yanga SC hatujui. Hebu tumsaidieni tumuwahishe Mirembe Dodoma kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Hivi huyu Makamu Mwenyekiti Wetu Sisi wana Yanga SC Siku ya Jumapili ' tukipigwa / tukifungwa ' Goli kati ya 10 hadi 15 na Waarabu wanaojua Kucheza Mpira na wenye Pesa hakuna mfano Pyramids FC atatuambia nini? Yaani Watu wakati wanakuja Kucheza nawe wakiwa angani katika Ndege yao muda wote walikuwa wakicheza tu Karata huku Wewe muda wote ukiwa ' Unaroga ' tu na Kufanya ' Mikafara ' yako ya Kufa Mtu Mwanza nzima hadi Kuzika ' Vibudu ' Uwanja wa CCM Kirumba wamekufunga Goli nzuri tu Mbili huku Wewe ukiutafuta kwa Tochi na Kujitutumua na ukabahatisha kupata ' Kagoli Kamoja ' ka Kubahatisha bado unaweza kweli leo hii kusema kuwa ni Timu nyepesi, ya kawaida na inafungika?

Wana Yanga SC wenzangu naomba tukifungwa tu hiyo Jumapili tuandamane tumfukuze huyu Makamu Mwenyekiti wetu sawa? Na kama wana Yanga SC wenzangu hamtanisikiliza na Kuniunga mkono Mimi GENTAMYCINE katika hili basi nitahamia rasmi Biashara United ( Mara ) Mara au Ndanda FC ( Mtwara ) / Namungo FC ( Lindi ) ambako Kiasili ndiko ' Chimbuko ' langu.

Na hakuna Timu nisiyoipenda kama Simba SC kwani haijui Mpira kama Yanga SC yetu. Yanga SC oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
mo.jpg

Wala atujamuelewa alikuwa anamaanisha nini tujuze Gentamycine
 
Kama ni yule Mwakalebela: Jamaa sikuwahi kuamini kama ni mjinga kiasi kile
 
Mkia kazi yake kufukuza inzi.WEWE NI MKIAAAAAA
 
Kwa kile Kitambi chake cha SIMTANK ulitegemea awe na Akili Mkuu?

Kuna mjumbe ameuliza hapo juu 👆iwapo unafahamu chochote kuhusu Mo kuvuliwa nguo zote na kuvishwa kanga wakati ule alipotekwa, kiasi alifikia hatua ya kuwaambia watekaji wake wamuue tu.
 
Back
Top Bottom