Ushauri kwa timu ya Yanga

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.

Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.

Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.

Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
 
Simba na Azam ambazo unasema zinawachezaji wazuri zilikua na Yanga katika mashindano ya CAF na zote zimetolewa mzunguko wa kwanza, kwasasa zina galagala mchangani. Kuifananisha Yanga na izo timu zinazo galagala mchangani ni Matusi.
Yanga inamatatizo yake na ii inatokana na kuwa na wachezaji Karibia wote wa kikosi cha Kwanza kuwa wapya. Itachukua Muda yanga kukaa sawa ila Yanga haiwez ku chachawa kwa piramid, Sasa Yanga kama wataiogopa Piramid vip kwa Mamelod, TP Mazembe n.k?
 
Acha uzandiki wewe! Tulia utaelewa somo tu, au kama vipi hamia kwa Azam, maana hata Simba hukuelewi
 
Yule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
 
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.

Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.

Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.

Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Hao wenye wachezaji wazuri wanacheza mashindano mangapi,kama kweli unafuatilia mpira vizuri na Yanga yetu,Jana at least strikers wamefanya attempt nyingi kwenye lango la adui,Yanga mpaka sasa tunashida ya kiungo wa kuwachezesha washambuliaji.

Kazi aliyoifanya Balama Mapinduzi,ndiyo inakosekana Yanga,bado kuna pengo la Nionzima,Kamsoko........walikuwa na killer passes saizi hamna tena.Fei toto nikama ameflop tangu game ya Afcon ya Amunike.Ila kwa mechi ya Jana jicho langu kuna kitu nimekiona,hope tu naelekea kuzuri na next game tutafanya vizuri.

Daima mbele,Nyuma mwiko
 
Yule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Yes yule ni mchezaji mkuu
 
Na yule Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union yuleee! Ni beki matata sana wa kati! Sijui viongozi wetu wa Yanga watamuona kwenye usajili wa dirisha dogo! Maana yeye peke yake tu pale nyuma, ni sawa na akina Ali Ali wawili.
 
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.

Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.

Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.

Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Tulipocheza mpira mbovu na polisi mlisema hv hv "kwa mpira huu na Zesco mtakula nyingi" mwisho wa siku mlijionea wenyewe pira jingi lililopigwa kitu usichokifaham Yanga pamoja na matatizo yetu yaani tunapokutana na timu nzuri ndio tunaenjoy sana karibu jpili pale Kirumba!
 
Yule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Usajili wa Dirisha Dogo wamchukue Ditram Nchimbi na Said Hamis basi. Halafu Mapro wote waondolewe isipokuwa Shikalo, Lamine Moro, Papy Tshishimbi na Molinga. Timu itakuwa vizuri.
 
Yule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Mkuu hao ni wachezaji wa mechi moja coz anatafuta usajili
 
Niamini mimi, hao wachezaji wawili (Ditram ma Junior) na huyo Mwamnyeto, wana vipaji vikubwa vya kusakata kabumbu. Wana sifa ya kuchezea Yanga, kuliko baadhi ya maproo walioko kwenye hiyo klabu yetu.
 
Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.

Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.

Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.

Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Hakuna shabiki wa Yanga mpumbavu.
 
Back
Top Bottom