Viongozi wa Yanga usajili wa wachezaji ndio unawaangusha

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa.

Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa.

Mchezaji kama Ngassa ni wa nini kumsajili? Umri umemtupa na hata mchezo anaouonyesha ni kiwango cha chini kabisa.

Ngassa anamwacha adui akidhania kuwa mpira umetoka nje matokeo yake goli la pili ukafungwa.

Sajilini wachezaji wenye viwango vinginevyo mtakuwa mnalia na kocha kila kukicha.

Zahera hana kosa lolote, tatizo ni usajili. Mumrudishe Niyonzima.
 
Zahera kaishasema kuwa wamesajili kwa ajili ya premier league, wanatosha.
Yaani unawashauri Yanga asajili kama Azam na Simba!!! Simba na Azam waliotolewa kwenye mashindano ya Caf kwenye hatua za awali !!!.Simba na Azam zinazo cheza mchangani!!! Timu zetu zinapimwa katika mashindano ya Caf ii ligi yetu marefa wetu wana uza mechi, Ligi ya Tanzania Sio kipimo halisi cha uwezo wa timu.
Ndio maana Azam na Simba walipo ingia kwenye kipimo cha Caf walitolewa round ya kwanza.
 
Tatizo sio wachezaji..hili zee halina mbinu..huko nyumbani unaanza na striker mmoja?#Zaheraout

Naunga mkono hoja. Kwani lazima awe kocha wa Yanga? Kama ni kocha bora duniani, si atagombiwa tu na vilabu vingine baada ya kutuachia timu yetu!
 
Bin Kleb na Seif Magari, hawa jamaa walikuwa wanaweza sana kusajili! Mikia walikuwa hawapumui! Nakumbuka Rage alitoa chozi ishu ya Twite!
 
Yaani unawashauri Yanga asajili kama Azam na Simba!!! Simba na Azam waliotolewa kwenye mashindano ya Caf kwenye hatua za awali !!!.Simba na Azam zinazo cheza mchangani!!! Timu zetu zinapimwa katika mashindano ya Caf ii ligi yetu marefa wetu wana uza mechi, Ligi ya Tanzania Sio kipimo halisi cha uwezo wa timu.
Ndio maana Azam na Simba walipo ingia kwenye kipimo cha Caf walitolewa round ya kwanza.
Hapo sasa.........
 
Back
Top Bottom