yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Yanga

    Tunaweza tusikichukulie kwa jicho la tatu ila kitendo kilichofanywa na yanga ni cha kishujaa na manufaa makubwa ya soka letu. Kama hii mechi ingechezwa leo saa 1 usiku basi tayari ndio ingekuwa michezo ya TFF kila siku kucheza na ratiba kwa sababu wangejua kumbe hakuna kitu chochote...
  2. Mwenda_Pole

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa Simba na Yanga ni failure ya

    Piga kura hapo juu
  3. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wizara ya habari, TFF na Bodi ya ligi Mpira wanatakiwa kujipima kama bado wanastahili kuwepo kwahili la Game ya Simba vs Yanga

    Wizara ya habari na utamaduni kwa kushirikiana na TFF kupitia Bodi ya ligi Tanzania wanatakiwa kujipima kwamba bado wanastahili kusimamia michezo hasa Mpira kwa kipindi hiki na kuendelea? Weledi wao umeonekana bado haukidhi mahitaji ya kuendeleza michezo hasa soka kwa kutokuwa na Nia njema...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yanga FC wagomea mabadiliko ya muda wa mechi

    Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

    My Take Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto Updates Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia sababu Utopolo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  7. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Utopolo Ni Yanga au Simba?

    Wakuu, tueleweshane kidogo! Sijashabikia mpira siku nyingi. Ila kuna maneno mapya mapya siku izi kama UTOPOLO na VYURA. Yanasemwa na kila shabiki, niulize Utopolo ni Yanga au Simba? au ni ile timu inayopoteza? Msaada jukwaani.
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

    Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku ==== TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku. TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni...
  9. mmh

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika kukata tiketi mechi ya Simba na Yanga 08/05/2021 uwanjani

    Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma. Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya? Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

    Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi? Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya...
  11. Gwele

    JamiiForums Tanzania UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

    Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8. Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho. Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
  14. Abby Newton

    JamiiForums Tanzania Tulizeni presha Simba SC na Yanga SC hawajaanza kukutana leo

    Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia. Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Kamwe msiingize kikosi cha kwanza katika mechi yenu na Yanga SC

    Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora. 2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwamuzi wa Simba na Yanga 'Mwanangu' kabisa Mwandembwa, usituangushe 'Wadau' wako wa Soka na Kijiweni Kwetu

    Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021. Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Timu zinapofungwa na Yanga zikubaliane na matokeo

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, amesema kumekuwepo na tabia ya Viongozi wa timu mbalimbali Nchini kutoa kauli za kwamba walihongwa hususan wanapofungwa na Yanga. Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Ifike wakati Viongozi wa Timu hizi na Watanzania kwa ujumla wakubali...
  18. endesha

    JamiiForums Tanzania Dondoo na uchambuzi kuelekea mechi ya Watani wa Jadi

    Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni Kuelekea Mchezo huo ,Japo kivyovyote Kama tunavyojua Derby siku zote hua haingalii saaana performance ya Timu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mabeki wakiwa Moro na Ninja tunakula 7, ila wakiwa Nondo na Job tunakula 5 hivyo tuchagueni mapema 'Kifurushi' chetu

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu Watani zangu Yanga SC kama itawapendeza ili angalau Kupunguza idadi ya Magoli ya Kufungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 yawe 3 kwa 0 (ambayo ndiyo nayaona Kiutabiri) kuwa mtafungwa Mchezaji Tonombe Mukoko namba 5 na Juma Makapu namba 4. Mkiwapanga Moro...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

    Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni. Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA. 1. KUTEMBEA KIFUA WAZI 2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1...
Back
Top Bottom